Aliyajua hayo baada ya kuwekwa pembeni? Aende ccm kwenye chama cha kupita bila kupingwa, na akiona vipi aongee na mkulu amuongezee kwenye kundi lake la watu wasiojulikana, na ikibidi aombe awe kiongozi wao.
Tanzania hakuna kweli upinzani na kutokuwepo ni upinzani ni sasa mbovu za chama tawala kwani chama tawala kinataka kibali chenyewe wakati dunia haiko hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa......ingawa Sina hakika na Hilo la washikaji...ila upinzani kwa ujumla wake ni watu wa hovyo kabisa na hasa viongozi...hawana dira, hawana Sera...ni watu wa matukio...wana viashiria vingi vya usaliti na uchochezi dhidi ya TanzaniaTanzania hakuna upinzani....kuna genge tu la washkaji fulani amazing
Acha ujinga basi!Mashinji ,tulikuambia hukutuelewa, ulianza kuitwamtumishi hewa tukakuambia tena , sasa tulia.
Nenda huko kwenu kanda ya ziwa wakaskazini hatutaki wageni chamani kwetu.
Chadema ni yetu si ya nchi nzima maana huko Ccm imehangaika na nchi yote na nchi nyingine za Afrika kuzikomboa.
Sisi ni familia chachetu hata hapa kwetu Ars na Kilimanjaro tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na CCM kuna chama au genge la wakandamizaji? Wansema eti wa ni wajamaa, kuanzia Mwenyekiti wao mpaka mfagizi wao hamna mjamaa! Si ni chama cha wahuni hiki?Tanzania hakuna upinzani....kuna genge tu la washkaji fulani amazing
Upinzani unaouongelea wewe ni wa Prof Lipumba ika sio wa CDM. Utawala umejitahidi kuushusha lakini bado. Katika watu MAKINI katika upinzani na siasa za Tanzania Ni CDM, Kama Ni wa ovyo omba time huru uone muzika ilivyo ambiancé. Ndo tujueNi kweli kabisa......ingawa Sina hakika na Hilo la washikaji...ila upinzani kwa ujumla wake ni watu wa hovyo kabisa na hasa viongozi...hawana dira, hawana Sera...ni watu wa matukio...wana viashiria vingi vya usaliti na uchochezi dhidi ya Tanzania
unapoteza muda kuililia ccm na kuficha madhaifu ya nabii mkuu na ukabila uliojaa chadema.
chadema ingekuwa chama safi ccm isingekaa madarakani.
Chadema ingekuwa nguvu ya umma na wananchi wasingeogopa polisi wala chochote bali kuitoa ccm madarakani.
Jipimeni ndani kuliko kumlaumu jilani
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya yametimia!!Aliyajua hayo baada ya kuwekwa pembeni? Aende ccm kwenye chama cha kupita bila kupingwa, na akiona vipi aongee na mkulu amuongezee kwenye kundi lake la watu wasiojulikana, na ikibidi aombe awe kiongozi wao.
Hakuna kitu hapo hakupewa password zote alishindwa kukiimarisha chama 'he is part of the failures of Chadema'ni vyema DR. Mashinji akaanika uvundo wote ulio ndani ya chadema, maana alishika nafasi ya juu sana na ya utendaji hivyo anasiri nyingi sana kuhusu chaeema, nadhani atazitapika nyingi wakati wa kampeni kwa sasa mwacheni atunze nondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unatiki ww chadema nakujuaJapo Mimi siyo mwanasiasa au shabiki wa chadema but huyu Katibu Mkuu Mashinji ni kama tu hakuwepo kwa miaka yote kama kiongozi. Apumzike tu maana kazi hakuiweza mpaka unajiuliza kama yupo au kalazwa hospital akiwa coma.
Unanijua ulinipa kadi wewe pu ng u a ni. Kwa hesjima yangu binafsi niliyojijengea i.e social capital siwezi kamwe kuipenda Siasa wala kuwa kiongozi wake. Hata kura huwa sipigi na SITEGEMEI kupiga.Acha unatiki ww chadema nakujua
Tume huru ndio kitu gani...ulitaka wewe uwemo kwenye tume?? Mmekaririshwa kwa kile kinachoitwa tume huru na msielewe hata maana yake...huko kwa mabeberu Kuna tume huru?? Ni Nani anateua tume huko Marekani?? Mimi nimesoma course ya politics of industrial states na siyo rahisi kudanganywa uongo mnaowaaminisha watu kuhusu issues mbalumbali...na wàalimu wangu walikuwa ni hao hao wazungu 'mnaowabudu'.….chadema siyo chama chenye sifa ya chama Cha kuongoza nchi...Upinzani unaouongelea wewe ni wa Prof Lipumba ika sio wa CDM. Utawala umejitahidi kuushusha lakini bado. Katika watu MAKINI katika upinzani na siasa za Tanzania Ni CDM, Kama Ni wa ovyo omba time huru uone muzika ilivyo ambiancé. Ndo tujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashiniji kaenda CCM kula mafaoMwambe angeshinda huyu Mashinji angeweza kufungwa kwa ubadhirifu wa ruzuku!