Siasa ya Kijamaa ya Mwalimu Nyerere ilichukia sana Matajiri bila ya kujali Kama chanzo cha Utajiri cha Mtu husika ni halali au Laa!
Watu waliamini Umaskini ndio Alama ya Uadilifu na Viongozi wakaanza kujifaharisha kwa Umaskini!
Utawala wa Awamu ya Tano kwny kipengele hicho unafanana na utawala wa awamu ya kwanza!
Mwamwindi alikuwa ni Mfanyabiashara Mkubwa sana Tangu Miaka ya 50 Familia Yao iliwekeza sana kwny Kilimo kiasi cha kuweza kuwa na Tractors, Planters na zana zingine katika Miaka ya 1950 lakin baada tu ya uhuru Serikal Mpya ikaanza kuhujumu na kusumbua sana Watu wa aina hii Mara Wakabidhi Mashamba yao yawe ya Kijiji Mara sijui wakalime kwny Mashamba ya kijiji Mara wahame wakaishi kwny Vijijini vya Ujamaa na upuuzi Mwingine wa aina hiyo!