Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

Siasa ya Kijamaa ya Mwalimu Nyerere ilichukia sana Matajiri bila ya kujali Kama chanzo cha Utajiri cha Mtu husika ni halali au Laa!

Watu waliamini Umaskini ndio Alama ya Uadilifu na Viongozi wakaanza kujifaharisha kwa Umaskini!

Utawala wa Awamu ya Tano kwny kipengele hicho unafanana na utawala wa awamu ya kwanza!

Mwamwindi alikuwa ni Mfanyabiashara Mkubwa sana Tangu Miaka ya 50 Familia Yao iliwekeza sana kwny Kilimo kiasi cha kuweza kuwa na Tractors, Planters na zana zingine katika Miaka ya 1950 lakin baada tu ya uhuru Serikal Mpya ikaanza kuhujumu na kusumbua sana Watu wa aina hii Mara Wakabidhi Mashamba yao yawe ya Kijiji Mara sijui wakalime kwny Mashamba ya kijiji Mara wahame wakaishi kwny Vijijini vya Ujamaa na upuuzi Mwingine wa aina hiyo!
 
Hiyo ni mwanae mkulima mwamwindi anaitwa "Aman Mwamwindi" alikuwa meya ya manispaa ya Iringa na mwenyekiti Wa bodi ya shule maarifu pale Iringa inaitwa Lugalo secondary school.
Nyumbani kwake ni mlandege /kwa kilosa. Ni.Mzee mmoja mpole sana na ana hekima sana. Kwa ufupi ni hivyo.

Huyu ndiye Kijana wa marehemu Mwamwindi, anaitwa Amani Mwamwindi (Hilo jina lake la Amani lina maana kubwa sana katika maisha yake).

 
Utata: Kuna Mzee Wa Iringa Nilikuwa Nafanyanae Kazi Alinisimulia Kuwa Mzee Mwamwindi Alimkuta Rc Kleruu Nyumbani Kwa Mke Wake (ALIMFUMANIA) Kwa Hasira Kali Akamtwanga Risasi Kisha Akaupeleka Mwili Wa Rc Kleruu Polisi
 
swadakta
 
kuna ule mnara flan hivi njia ya kwenda dom ndio naambiwaga Dr Rc Aliuwawa hapo.

itabidi utupe stori asee, halaf pia kuna Meya flan pale Iringa alikuwa anaitwa mwamwindi hvo hivo naye tuunganishie dots kama ndio wajukuu wa muuwaji
Yulee n mtt wake kabsa had sku ananyongwa alikwenda kumuaga dom kisanga
 
Utata: Kuna Mzee Wa Iringa Nilikuwa Nafanyanae Kazi Alinisimulia Kuwa Mzee Mwamwindi Alimkuta Rc Kleruu Nyumbani Kwa Mke Wake (ALIMFUMANIA) Kwa Hasira Kali Akamtwanga Risasi Kisha Akaupeleka Mwili Wa Rc Kleruu Polisi

Zile zilikuwa Propaganda za Serikali kuficha Ukweli wa Watu kukataa Sera za Nyerere za Ujamaa!

RTD ilikuwa ikimwita Mpinga Maendeleo, Mara Kibaraka wa Makabaila!
 
Ameahidi kuendelea na hadithi, atamhoji mtoto wa marehemu mwamwindi pia
 
Anàjaribu kunogesha habari kwa kuweka mbwembwe,
 
Tunangojea. Pia itapendeza kama utatuwekea kesi yake mwanzo mpaka hukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…