Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

hawezi fanya hivyo ila naamini anataarifa kuna walioupande wake wengi tu!
 
Hao 38 pamoja na yeye wote ni waganga njaa, wanataka kutokea kwenye suala la bandari wakijua wanakwenda kupata posho za maana zitakazowaweka vizuri uzeeni mwao, Stupid puppets.

Wasomi wa aina hii ni mizigo mizito ya bara la afrika, unashangaa pamoja na utajiri mkubwa wa bara hili mpaka leo kuna watoto wanakufa kwa magonjwa yenye kutibika, ni wingi wa akili kama hizi ambao ni mzigo mzito na chanzo cha kuendelea kuwepo kwa umaskini.

Dr Slaa na hao anaojivunia kwamba wanamuunga mkono ni makuwadi tu wa wapigaji wa pale TPA, hawana biashara yoyote ya maana wanayoifanya yenye kuweza kuongeza au kupunguza pato la taifa kwa ujumla wake.
 
I saw his logic, but I don't agree with him to mention those liars CCM members, who are afraid to come themselves in public and show their true colors.
Even if it were me, I will not come forward with my true colours! I have to preserve my identity so as to make ends meet for the survival of my family, but I will support those fighting openly for our ports. I will assist them whenever the opportunity offers itself like now!
 
That is what we call it hypocrisy.
 
That is what we call it hypocrisy.
It depends on the prevailing situation! In a dictatorial regime like ours, you need to avoid being a dead hero. You strive to be a living hero while attending and achieving your goals!
 
It depends on the prevailing situation! In a dictatorial regime like ours, you need to avoid being a dead hero. You strive to be a living hero while attending and achieving your goals!
For that level of hypocrisy, you will achieve nothing, rather than your daily breade to feed your stomach. Am not against your views, to me I don't entertain this approach.
 
For that level of hypocrisy, you will achieve nothing, rather than your daily breade to feed your stomach. Am not against your views, to me I don't entertain this approach.
A lot will be achieved. For example, Funding of guerilla fighters is done secretly and they win and accomplish their missions!
 
A lot will be achieved. For example, Funding of gorilla fighters is done secretly and they win and accomplish their missions!
Boss do not compare guerilla fighters and these CCM bread winners.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…