Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Hilo ni kweli ila kwa unafiki tulionao akiwataja tu watamruka futi mia moja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe umepotea kimtazamo. Naamini maneno hayo yanaongeza morali ya ufuatiliaji Kwa wapinga mkataba wengine wakiamini hawako peke Yao. Naamini Slaa katumia mbinu Bora kabisa ktk kuwapa moyo wananchi na hii inaleta picha kwamba hata huko serikalini mkataba huu si wote wanao ufahamu na pia hawakupewa fursa ya kujadili kinyume na matakwa ya walio u asisi.Kwanza this is too good to be true!, and if it's true, then it's not good at all!, and in fact, k, it's very dangerous!, huyu padri anataka kuwaponza tuu watu wa sehemu bure!, kukesha bure usiku na mchana kwenye tracking and tapping simu Padri Silaha, kuwatafuta hao
Viongozi 38, wa serikali wasiojua how the government works, wasio jua kuwa simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza kwa kuipinga serikali yao?..
Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia! Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
P
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.
Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Hao hao sababu nao ni watanzania wana haki sawa kwenye rasimali za ummaViongozi 38 wajumbe wa nyumba kumi wa ccm na wenyeviti wa vijiji.
Kwani kawataja majina?Kwanza this is too good to be true!, and if it's true, then it's not good at all!, and in fact, k, it's very dangerous!, huyu padri anataka kuwaponza tuu watu wa sehemu bure!, kukesha bure usiku na mchana kwenye tracking and tapping simu Padri Silaha, kuwatafuta hao
Viongozi 38, wa serikali wasiojua how the government works, wasio jua kuwa simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza kwa kuipinga serikali yao?..
Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia! Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
P
Kwani unaposema hawezi kudanganya hiyo si siri yake ??siri yake, hayatuhusu
Hicho ndicho kilimfanya kuacha upadri??wewe ni kipi kinakufany uwe hapa?
Dr Slaa ni mtu mzima mwenye uelewa khs hilo.
Hilo ni kweli ila kwa unafiki tulionao akiwataja tu watamruka futi mia moja!
Dr Slaa hawezi kufanya kitu bila ushahidi. Nakubali alikengeuka wakati wa Magufuli, but he is still up to his sensesKama anayosema ni kweli atakuwa lazima anao ushahidi , Si aseme tu , ? lakini inaelekea ni jitu linatafuta umaarufu na nafasi ya kurudi Chadema kupata mlo
of course wakati huu kaukosa ubalozi , ,atahaha kutafuta mlo hata wewe pengine ungalikuwa hivyoDr Slaa hawezi kufanya kitu bila ushahidi. Nakubali alikengeuka wakati wa Magufuli, but he is still up to his senses
Kunanbitu ukidanganya unakamatika kirahisiKwani unaposema hawezi kudanganya hiyo si siri yake ??
Ukijuwa kuwa amedanganya lakini kama ukimwona mtu poa kama unavyomwona wewe chongo utaita kengezaKunanbitu ukidanganya unakamatika kirahisi
Kwa hili, hakika umepotoka. Hutaki watu watetee maslahi yao kadri wanavyoona inawafaa.Kwanza this is too good to be true!, and if it's true, then it's not good at all!, and in fact, k, it's very dangerous!, huyu padri anataka kuwaponza tuu watu wa sehemu bure!, kukesha bure usiku na mchana kwenye tracking and tapping simu Padri Silaha, kuwatafuta hao
Viongozi 38, wa serikali wasiojua how the government works, wasio jua kuwa simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza kwa kuipinga serikali yao?..
Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia! Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
P
UmeshindaaaaaàaàaaaaaUkijuwa kuwa amedanganya lakini kama ukimwona mtu poa kama unavyomwona wewe chongo utaita kengeza
Kwa hili, hakika umepotoka. Hutaki watu watetee maslahi yao kadri wanavyoona inawafaa.
Pascal wewe unatafuta uteuzi.Kwanza this is too good to be true!, and if it's true, then it's not good at all!, and in fact, k, it's very dangerous!, huyu padri anataka kuwaponza tuu watu wa sehemu bure!, kukesha bure usiku na mchana kwenye tracking and tapping simu Padri Silaha, kuwatafuta hao