kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kweli kabisa hata kipindi slaa anasema chadema imemeza ndoana kwenye suala la ufisadi baada ya kusajili kubwa la mafisadi bado wengi hamkumuamini!Hawezi kuwataja. Slaa hawezi kudanganya mambo madogo kama hayo
Naamini kabisa, licha ya Samia kutoa majibu ya sharau kwa watanganyika kuhusu ule mkataba kwamba ameziba masikio, lakini ndani ya nafsi yake, atakuwa anatetemeka sana, hana amani.
Lile jibu lake kwetu lilikuwa kama mbinu ya self defence kisaikolojia, lakini anajua fika, amezungukwa na wasiomuamini wala kumuunga mkono naye anajua hilo.
Ametusaliti watanganyika.
Hapa ni mwendo wa kukaa kwa utulivu na kuangalia hii songombingo inavyokwenda!!Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika...
Mkuu Paskali, nyeti za mtetea haziwezi kujificha mbele ya upepo mkali kama huu unaovuma. Labda tu mmiliki wake ajitoe ufahamu na kumvisha "diapers" ili naye ageuke kuwa "laughing stock" mbele ya watu makini.This is not good at all!, and in fact, it's very dangerous, huyu padri anataka kuwaponza watu bure!.
Viongozi gani hao 38, wanaojua simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza?...
Huijui CCM wewe. Hakuna cha uasi wala nini, watu wengi wame invest heavily ndani ya Chama hicho and none of them is ready to suffer loss. Hiyo idada ya 38 iliyotajwa sio miongoni mwao.Mama ajiandae, labda awe strong kutumia madaraka yake makubwa kuzima uasi unaoweza kumkuta ndani ya chama chake. Hapa kategwa nae kaingia kingi.
Pia, CCM wanaweza kumgeuka baada ya kuona hii issue inaweza kuigharimu vibaya CCM, hivyo lazima wajitenge nae.
uko sahihiThis is not good at all!, and in fact, it's very dangerous, huyu padri anataka kuwaponza watu bure!.
Viongozi gani hao 38, wanaojua simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza?.
Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia!.
P
😎🤣🤣simu zao ziko tapped
Wanaopinga huko kwenye corridor zao unafikiri hawajulikani?This is not good at all!, and in fact, it's very dangerous, huyu padri anataka kuwaponza watu bure!.
Viongozi gani hao 38, wanaojua simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza?.
Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia!.
P
Na wakifanya hivyo, halafu hao walioongea na Slaa bado wakakana, si ndiyo itakuwa vizuri tuwajue wanafiki wakubwa wa nchi hii?Atasababisha watrace simu yake kujua kaongea na kina nani
Akili za mtu kama huyu anazijua yeye mwenyewe zinavyofanya kazi!This is not good at all!, and in fact, it's very dangerous, huyu padri anataka kuwaponza watu bure!.
Viongozi gani hao 38, wanaojua simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza?.
Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia!.
P
Mbona hawakupinga huu uamuzi wa mwenyekiti wao huko ndani ya Ccm na serikalini ?....au wanalinda vibarua vyao? hao ni wanafiki tu?Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika...
We tunajua kiasi cha pesa ulizochukua na tunajua umechukua kwa nani, ukiendelea tutawataja kwa majina yenu halisi. Huyo babu naye ameshalambishwa na kingine kinachomsumbua ni udiniAmeyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika...