Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

Anatetemeka sanaaz na Sababu kubwa ya kutetemeka ni KUA MWANAMKE.
Naamini kabisa, licha ya Samia kutoa majibu ya sharau kwa watanganyika kuhusu ule mkataba kwamba ameziba masikio, lakini ndani ya nafsi yake, atakuwa anatetemeka sana, hana amani.

Lile jibu lake kwetu lilikuwa kama mbinu ya self defence kisaikolojia, lakini anajua fika, amezungukwa na wasiomuamini wala kumuunga mkono naye anajua hilo.

Ametusaliti watanganyika.
 
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika...
Hapa ni mwendo wa kukaa kwa utulivu na kuangalia hii songombingo inavyokwenda!!
 
This is not good at all!, and in fact, it's very dangerous, huyu padri anataka kuwaponza watu bure!.
Viongozi gani hao 38, wanaojua simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza?...
Mkuu Paskali, nyeti za mtetea haziwezi kujificha mbele ya upepo mkali kama huu unaovuma. Labda tu mmiliki wake ajitoe ufahamu na kumvisha "diapers" ili naye ageuke kuwa "laughing stock" mbele ya watu makini.
 
Hiyo ni sawa na kudai unao ushahidi lakini hauwezi kutumika mahakamani.
 
Mama ajiandae, labda awe strong kutumia madaraka yake makubwa kuzima uasi unaoweza kumkuta ndani ya chama chake. Hapa kategwa nae kaingia kingi.

Pia, CCM wanaweza kumgeuka baada ya kuona hii issue inaweza kuigharimu vibaya CCM, hivyo lazima wajitenge nae.
Huijui CCM wewe. Hakuna cha uasi wala nini, watu wengi wame invest heavily ndani ya Chama hicho and none of them is ready to suffer loss. Hiyo idada ya 38 iliyotajwa sio miongoni mwao.
 
This is not good at all!, and in fact, it's very dangerous, huyu padri anataka kuwaponza watu bure!.
Viongozi gani hao 38, wanaojua simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza?.

Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia!.

P
uko sahihi
 
Usiku kwenye giza CCM wanakuwa malaika,mchana kwenye mwanga wanakuwa mashetani,mafichoni wanajifanya wako pamoja na wananchi kwa kupinga mkataba,hadharani na mchana kweupe wataishia kusema ndiyoo utafikri siyo wale waliokuwa wanapinga kwa kuwa CCM wapo kimaslahi zaidi.
 
This is not good at all!, and in fact, it's very dangerous, huyu padri anataka kuwaponza watu bure!.
Viongozi gani hao 38, wanaojua simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza?.

Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia!.

P
Wanaopinga huko kwenye corridor zao unafikiri hawajulikani?
 
Atasababisha watrace simu yake kujua kaongea na kina nani
Na wakifanya hivyo, halafu hao walioongea na Slaa bado wakakana, si ndiyo itakuwa vizuri tuwajue wanafiki wakubwa wa nchi hii?

Katika hali hii iliyopo, watu hao wanatakiwa wajitokeze nje wao wenyewe na kupinga upuuzi huu waziwazi. Hawahitaji kuwa wanasemea pembeni katika jambo muhimu kama hili.
 
This is not good at all!, and in fact, it's very dangerous, huyu padri anataka kuwaponza watu bure!.
Viongozi gani hao 38, wanaojua simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza?.

Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia!.

P
Akili za mtu kama huyu anazijua yeye mwenyewe zinavyofanya kazi!

Mambo ya ajabu sana haya kuyasema mbele za watu wengine.
 
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika...
Mbona hawakupinga huu uamuzi wa mwenyekiti wao huko ndani ya Ccm na serikalini ?....au wanalinda vibarua vyao? hao ni wanafiki tu?

JokaKuu zitto junior
 
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika...
We tunajua kiasi cha pesa ulizochukua na tunajua umechukua kwa nani, ukiendelea tutawataja kwa majina yenu halisi. Huyo babu naye ameshalambishwa na kingine kinachomsumbua ni udini
 
Back
Top Bottom