Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

Friji ya Slaa itakuwa haigandishi.......ndio maana kasema.

JokaKuu zitto junior
Nguruvi3 Mag3
Slaa hana lolote kama utakumbuka alipokuwa upinzani alikuwa anaibua hoja nyingi lakini source yake ilipokamatwa tu marehemu Sitta na yeye akapotea kuna watu wanasema alimuuza Sitta ndio sababu ya JPM kumzawadia ubalozi. CCM walivyojuwa tu wakasema wanataka speaker mwanamke zamu yake. Sasa kuna mawili ni kweli alimuuza Sitta au alishtukiwa. Hali hii ni ngumu mtu wa serikali akampigia simu huyu ni hatari hakuna wakuaminika huyu mzee hata siku moja usimuamini aliwauza Chadema watu wake.
 
sasa kama lengo lenu ni kuingia ikulu simnyamaze awape waarabu bandari ili iwe vyepesi kwenu kuingia ikulu
e
Kweli kilaza ni kilaza tu.
Yaani unaingiliwa kinyume na maumbile,unasema ngoja akuingilie na amalize ili upate ushahidi!!????

Uzuzu ni mzigo.
 
We tunajua kiasi cha pesa ulizochukua na tunajua umechukua kwa nani, ukiendelea tutawataja kwa majina yenu halisi. Huyo babu naye ameshalambishwa na kingine kinachomsumbua ni udini
Wewe, saigilomagema unasumbuliwa na kitu gani hasa!
Maana inaonyesha wazi katika mabandiko yako humu kuwa unacho kinachokusumbua kwelikweli.
 
Huyi babau si atulie jamani kwani lazima aongee uongo mda wote mapaka anakufa? Nani serikalini ampigie simu huyu mvimba macho!!
 
Wewe Mwalimu uliyepo halmashauri ambae unahangaikia uhamisho unajipa ukubwa huu kweli? Jf nzuri sana kila mtu anajipa ukubwa
Anastruggle anagalu apewe Uratibu Elimu Kata, hana lolote huyo
 

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Slaa atetee bandari aachane na hizo story sijui wanaccm wamempigia simu. Kama hao wanaccm wanaogopa kujitokeza wanamaana gani sasa? Watu wanaoogopa kujitokeza hadharani kutetea kosa anawatajaje kama watu muhimu?
 
Unamuamini kiasi hicho Slaa? Mwenzako ana per day, tena analipwa vizuri sana baada ya kila toleo lake.
Wewe utaambulia nini?
Kama analipwa for the good for the interest of our nation, wacha alipwe almradi afikishe sauti ya watanzania waliowengi ambao wengi wao ni waoga kusema hadharani.
 
Crap!
 
Slaa atetee bandari aachane na hizo story sijui wanaccm wamempigia simu. Kama hao wanaccm wanaogopa kujitokeza wanamaana gani sasa? Watu wanaoogopa kujitokeza hadharani kutetea kosa anawatajaje kama watu muhimu?
There is a lot of logic in Dr. Slaa's post! Think deep you will see it
 
Kama analipwa for the good for the interest of our nation, wacha alipwe almradi afikishe sauti ya watanzania waliowengi ambao wengi wao ni waoga kusema hadharani.
....for the interest of our nation -HAPANA. Ila analipwa kwa ajili yake na familia yake.
Tukumbushane historia yake fupi ktk siasa. 1) alikuwa mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga na CHADEMA. 2)Alijitoa CCM baada ya kukatwa jina lake ktk kugombea ubunge. 3) Akajiunga na CHADEMA ili apate kugombea ubunge (kama alivyofanya Lowasa-urais). 4) Akajitoa CHADEMA baada ya kujua hata pata nafasi ya kugombea Urais. 5) Karudi CCM baada ya kuahidiwa ubalozi. 6) Kajitoa CCM baada ya kutolewa ktk ubalozi. 7) Anajaribu kujitakasa kwa CHADEMA ili arudi chamani- Nia ni kugombea urais 2025.
Swali- kweli kwa mtiririko huu unaweza sema kuwa anafanya for the interest of our nation.. Hapana!!!!!!
 
There is a lot of logic in Dr. Slaa's post! Think deep you will see it
I saw his logic, but I don't agree with him to mention those liars CCM members, who are afraid to come themselves in public and show their true colors.
 

Mkuu wanasiasa hawatumii calls za kawaida kupigiana simu ,wanatumia whatsapp/telegram/signal/imo/skype kuwasiliana , Tangia JPM awasanue kwamba Simu ziko Tapped na LIG wameshastuka ,kwahiyo hata wafatilie vipi hawatawaona kama walipigiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…