Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Mwalimu uliyepo halmashauri ambae unahangaikia uhamisho unajipa ukubwa huu kweli? Jf nzuri sana kila mtu anajipa ukubwaWe tunajua kiasi cha pesa ulizochukua na tunajua umechukua kwa nani, ukiendelea tutawataja kwa majina yenu halisi. Huyo babu naye ameshalambishwa na kingine kinachomsumbua ni udini
Endelea kuaminiNaamini kabisa, licha ya Samia kutoa majibu ya sharau kwa watanganyika kuhusu ule mkataba kwamba ameziba masikio, lakini ndani ya nafsi yake, atakuwa anatetemeka sana, hana amani.
Lile jibu lake kwetu lilikuwa kama mbinu ya self defence kisaikolojia, lakini anajua fika, amezungukwa na wasiomuamini wala kumuunga mkono naye anajua hilo.
Ametusaliti watanganyika.
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.
Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Mwambie hivyo hivyo na Rais Samia ili azidi kupotea.Hiyo ni propaganda hakuna kitu Cha namna hiyo
Dr. Slaa ni mtu msomi na anajua anachokifanya hao watu watakuwa wamemruhu aseme hivyo jumla jumlaThis is not good at all!, and in fact, it's very dangerous, huyu padri anataka kuwaponza watu bure!.
Viongozi gani hao 38, wanaojua simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza?.
Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia!.
P
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.
Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Acha dharau za chini chini! Dr Silaa alisha acha upadiri na ana mke sasa! Tafafhari PThis is not good at all!, and in fact, it's very dangerous, huyu padri anataka kuwaponza watu bure!.
Viongozi gani hao 38, wanaojua simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza?.
Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia!.
P
Kama hujui kwamba Rais ni mwajiriwa na bosi wake ni mwananchi nenda kasome katiba na urudie somo la uraia.we unajua maana ya Rais? RAis amtetemekee nani, nyie minyau?
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.
Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Ambao wangefanya hivyo wanaripoti kwake. Labda wakusanye siri zaidi wampe amwage hadharani.Huyu inabidi watrepu simu zake, tuwajue hao wasaliti
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.
Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Mmm usivyoaminika nani ampigie simu mtu asiyeaminika anayenunulika si bora wenyewe waongee tu wajulikaneAmeyasema hayo katika Club House.