Pre GE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Pre GE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mzee tangia lile tukio la 2015 kuhama chama dkk za jion, na ushawishi wote ule sijawah kumuelewa tena ,,,, Badae akalamba ubaloz kwa JPM, badae karudi, mara anachukizwa na wanaosema FAM sio gaidi,
Sarakasi zake zilianzia kwenye kudondosha upadre na kuingia kwa Rose Kamili, baadae Mchumba wake Mshumbusi, baadaye ubalozi nk
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Hivi hawezai kuwafungulia mashitaka DPP kwa unyanyasaji wakati wakijua hakuna kesi? Anaweza akaluta anajipatia tubilioni twake kadhaa kwa ujinga huu uliofanywa na DPP
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.

Shauri Na.993 la mwaka 2025 lilidai Dkt. Slaa ameshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia ukurasa wa X (zamani Twitter).

Leo February 27,2025, Wakili wa Serikali Mwandamizi Job Mrema amewasilisha nia ya DPP mbele ya Hakimu Mfawidhi Franco Kiswaga .

Wakili Mrema ameieleza Mahakama kuwa DPP ameamua kutoaendelea na shauri hilo kwa mujibu wa kifungu cha 91 (1) cha mwenendo wa makosa ya jinai.


Source: Millard Ayo, TBC
Hivi hakunaga namna individuals waliohusika kumkamata funguliwa mashtaka kwa kumnyanyasa Muhusika kwa namna yyt ile incl kusababidha kumnyima haki yale ya kuwa uraiani? Nadhani ingefaa kuwalumbusha kuwa hakuna aliye juu ya sheria kuwakunbudha kuwa si kila jambo wanalotumwa wanakubali kubali tu kijinga!
 
Hivi hakunaga namna Jamhuri ikafunguliwa mashtaka kwa kumnyanyasa Muhusika kwa namna yyt ile incl kumnyima haki yale ya kuwa uraiani? Nadhani ingefaa kuwalumbusha kuwa hakuna aliye juu ya sheria!!
Jamhuri ndio inamkamata, inamahtaki na inaamua kumwachia. Wewe ungetaka kuishtaki jamhuri kwenye mahakama gani? Hii hii ya jamhuri?
 
Hahaha......Mkuu kwani ni mara ya kwanza kukutana na vitisho humu?
Sio mara ya kwanza kutishiwa kuwa ID zetu ziko uchi, mtu mwenye info hizo ni kutoka jikoni huko JF, sasa kama ni hivyo ni bora kufungua platform nyingine ambayo members watakuwa hawana mashaka.
 
Back
Top Bottom