Pre GE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mzee mimi simuelewagi tangu 2015 mpaka leo haijulikani anataka nini
 
Sasa aache mambo ya uzushi na ajue uzee umeshawadia.Yaani unasema una taarifa za ikulu,halafu unategemea wenye ikulu wakuache.Vitu vingine ni bora tuhakokishe tuna akili kabla ya kudanganya.
 
No reforms no election
 
Huko Club House mambo yatakuwa ni hatari fire Mzee Slaa karejea.
 
Halafu huyu bibi anajidai ni mcha mungu, sa anatofauti gani na mwendazake?!
Labda jinsia tuu!
Tena angalau mwendazake alimzidi kusimamia uwajibikaji serikalini, yeye ni zero!!.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Roho ya usaliti haijawahi kumuacha mtu salamaa
 
Ameshika adabu sasa!! Ameionja joto ya jiwe!
Hapo hapo unataka watu wawe wakali kwa serikali ili kuiondoa madarakani.hapo hapo unataka watu waonewe ili washike adabu watulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…