Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahera alitakiwa ashitakiwe kwa uhujumu uchumi kwa kuvuruga uchaguzi uliotumika mabilioni ya shilingi za walalahoi
Watanzania hawataki bra braMkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima.
View attachment 2552433
Karudi nafasi ileileAmerudi kwa mara nyingine,japo sikumbuki kama nafasi ni ileile au alikuwa mjumbe wa tume🤔
Muulize mmeoWeka kifungu
Wameshika katiba ambayo Kila Leo wanaikojolea mate...binadamu ni mbaya zaidi ya mnyama.Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima.
View attachment 2552433
Alifanya kitu gani kibaya? Watz waliwakataa hata mlipowataka wafanye maandamano wakawapuuza wengine wakaona wakimbilie Ulaya kwenda kutunzwa huko.Watu kama nyie mmejaa laana na damu za wasio na hatia mmejipaka mwili mzima. Unathubutu kumtetea Mahera kwa aliyofanya 2020?!
Sana tuu yanHuyu Kailima nafikiri ni miongoni mwa watumishi wa umma waliofanyavkazi sehemu nyingiiiii!
Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
Katoka kwenye fedha kaenda kwenye fedhaMkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima.
View attachment 2552433