Dkt. Wilson Mahera akabidhi ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa NEC, Ramadhan Kailima

Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima.

View attachment 2552433

Simba wanafanya sub, anatoka mchezaji wao anaingia mchezaji wao.
Tena huyu Kailima ni nuksi sana
Kuna swali?
 
Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima.

View attachment 2552433
Watuwekee matokeo ya kura za urais 2020 kwenye tovuti. Majambazi haya
 
Haitakiwi kuwasamehe hwa jamaa hata kidogo wametuhribiya nchi yetu kwa kutuletea bunge la chama kimoja

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Yaani, safari hii wameingiza mnyongaji ambaye akitaka kunyonga anatabasamu ,wakimtoa mnyongaji mnunaji, kuna watu wanadanganywa hapa kuwa aliyeingizwa ni fair,kumbe mbwa mwitu.Hatari sana.

Sent from my E6810 using JamiiForums mobile app
 
Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima.

View attachment 2552433
Huyu ngiri nina hasira naye sana
 
Back
Top Bottom