Dkt. Wilson Mahera akabidhi ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa NEC, Ramadhan Kailima

Huyo mtu Wala sitamsahau daima!

Hivi ni mtu gani asiye hata na haya usoni, Kwa aliyoyatenda katika "uchafuzi" wa mwaka 2020?😎

Kwa kweli anapaswa akaombe Toba Kwa Mungu wetu, Kwa majanga makubwa aliyoliletea Taifa hili la Tanzania
 
Samahani ndugu zangu nipo nje ya mada but sio saana maana muhusika ametajwa kwenye uzi na nahisi Jf nitapata msaada,ni hivi naombeni mnisaidie namba ya simu ya kailima nimepoteza simu na namba yake na hakuna hata mtu wangu wa karibu aliyonayo na kibaya zaidi niliisave kwenyee line tangu mwaka 2008 huko..Ni schoolmate wangu rafiki yangu tangu utotoni,mpangaji wetu wa zamani kwenye nyumba yetu pale Morogoro,na workmate wangu wa kampuni fulani pale Morogoro..Hata yeye kama yupo humu ataelewa mimi ni nani na kunidm,asanteni
 
Jitu jeusi na roho yake nyeusi kabisa lilipaswa liende likachunge ng'ombe uko usukumani
 
πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Wameshika katiba ambayo Kila Leo wanaikojolea mate...binadamu ni mbaya zaidi ya mnyama.

Sent from my E6810 using JamiiForums mobile app
 
Watu kama nyie mmejaa laana na damu za wasio na hatia mmejipaka mwili mzima. Unathubutu kumtetea Mahera kwa aliyofanya 2020?!
Alifanya kitu gani kibaya? Watz waliwakataa hata mlipowataka wafanye maandamano wakawapuuza wengine wakaona wakimbilie Ulaya kwenda kutunzwa huko.
 
Katoka kwenye fedha kaenda kwenye fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…