Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mahakama zipi?Kama vipimo vya maabara vimethibitisha! Sijui kama atachomoka.
Sijui kama zitaletwa kama kielelezo mahakamani, ila kama hazitaletwa mahakamani basi ni mali ya binti.Wanasheria watatusaidia hapa
Ndiyo,ubakaji na ulawiti unadhmanaHivi kesi hiyo ina dhamana? Yuko nje au lockup?
"Kitu butu" 😆😆😆😆Namsikitikia Nawanda jinsi alivyochafuka na hii kashfa.Yote kayataka mwenyewe tu kwa kukosa vigilance.
Huyu Binti kwa ripoti ya Daktari imethibitisha kuwa kitu butu kiliingizwa kwenye sehemu yake ya haja kubwa.
Na kwamba Polisi walipokwenda kumkagua chumbani kwake Binti walichukua tishu na toilet papers ambazo Binti anadai kuzitumia alipotoka kukutana na Nawanda,wamezipeleka kwa Mkemia kuthibitisha kwenye vinasaba kama tishu hizo Zina manii za mtuhumiwa.
Kitu butu ni dhana Pana,inaweza kuwa Uume,Uume wa bandia au chochote kile kisichokuwa na ncha.Hata tango au karoti inaweza kuwa kitu butu tu.
Binti atathibitisha vipi kama mtuhumiwa alimuingilia kinyume na maumbile kwa nguvu?!..baada ya tendo Binti anasema aliondoka kuelekea chuo,Polisi ameenda kushtaki kesho yake!!
Huo muda wote hapo,kwa watu waliodhamiria kukutengenezea kashfa unatosha kabisa kukumaliza.
Kwa muktadha wa hii kesi,Jamhuri wanategemea hizo tishu zilizoenda kwa Mkemia Ili kumtia hatiani mtuhumiwa.Hizo tishu anaweza kuwa alijifuta manii baada ya kufanya mapenzi kwa njia ya Kawaida.
Hicho kitu butu madaktari wanachosema kiliingia kwenye sehemu ya haja kubwa ya muhusika kinaweza kuwa chochote na sio lazima uwe Uume wa mtuhumiwa!
Huyu Binti kama alivyosema mwenyewe kuwa alikuwa na mahusiano na mtuhumiwa,Nina mashaka kuwa ametumiwa na mahasimu wa Kisiasa wa Nawanda.
Maana kiukweli Nyota yake ilikuwa inan'gaa sana.
Mahakama itende Haki,kama Yahaya Nawanda ana makosa kwenye hili aadhibiwe.Kama Hana Makosa asafishwe,na alipwe fidia kubwa.
Hiyo ni Mali ya pccbHio si ni hongo ya kumziba mdomo muhanga, na kama hazijadaiwa ni haki ya binti
Sasa RC achukue pesa za walipa kodi Ili akazitumie kufanya UOVU,Wacha haki itendeke. Swali langu, Je, ikithibitika ni kweli Nawanda alimlawiti yule binti, zile pesa milioni 10 alizopewa binti atazirudisha au zitakuwa zake au??
Wanasheria mtusaidie hapa. Maana binti aliulizwa ulipewa kiasi gani na Nawanda. Akajibu, alipewa milioni 10 cash. Anazo na hajazitumia hata shilingi.
Ndivyo ilivyoandikwa hivyo kwenye taarifa ya Polisi Mwanza kwenda kwa DCI."Kitu butu" 😆😆😆😆
Wala sina shida na wewe mkuu, nimefurahishwa na huo MsamiatiNamsikitikia Nawanda jinsi alivyochafuka na hii kashfa.Yote kayataka mwenyewe tu kwa kukosa vigilance.
Huyu Binti kwa ripoti ya Daktari imethibitisha kuwa kitu butu kiliingizwa kwenye sehemu yake ya haja kubwa.
Na kwamba Polisi walipokwenda kumkagua chumbani kwake Binti walichukua tishu na toilet papers ambazo Binti anadai kuzitumia alipotoka kukutana na Nawanda,wamezipeleka kwa Mkemia kuthibitisha kwenye vinasaba kama tishu hizo Zina manii za mtuhumiwa.
Kitu butu ni dhana Pana,inaweza kuwa Uume,Uume wa bandia au chochote kile kisichokuwa na ncha.Hata tango au karoti inaweza kuwa kitu butu tu.
Binti atathibitisha vipi kama mtuhumiwa alimuingilia kinyume na maumbile kwa nguvu?!..baada ya tendo Binti anasema aliondoka kuelekea chuo,Polisi ameenda kushtaki kesho yake!!
Huo muda wote hapo,kwa watu waliodhamiria kukutengenezea kashfa unatosha kabisa kukumaliza.
Kwa muktadha wa hii kesi,Jamhuri wanategemea hizo tishu zilizoenda kwa Mkemia Ili kumtia hatiani mtuhumiwa.Hizo tishu anaweza kuwa alijifuta manii baada ya kufanya mapenzi kwa njia ya Kawaida.
Hicho kitu butu madaktari wanachosema kiliingia kwenye sehemu ya haja kubwa ya muhusika kinaweza kuwa chochote na sio lazima uwe Uume!
Huyu Binti kama alivyosema mwenyewe kuwa alikuwa na mahusiano na mtuhumiwa,Nina mashaka kuwa ametumiwa na mahasimu wa Kisiasa wa Nawanda.
Maana kiukweli Nyota yake ilikuwa inan'gaa sana.
Mahakama itende Haki,kama Yahaya Nawanda ana makosa kwenye hili aadhibiwe.Kama Hana Makosa asafishwe,na alipwe fidia kubwa
Ndivyo ilivyoandikwa hivyo kwenye taarifa ya Polisi Mwanza kwenda kwa DCI.
Sio maneno yangu Mkuu.
TOKA MAKTABA:
2022 9 Agosti
SIPENDI MAJUNGU RC SIMIYU DKT YAHAYA NAWANDA
Yahya Nawanda - Sipendi Majungu, Naomba Dhambi Hii Nisiibebe "
View: https://m.youtube.com/watch?v=XDbxE1-Gk9c&pp=ygUbUkMgd2EgU2ltaXl1IFlhaGF5YSBOYXdhbmRh
Wacha haki itendeke. Swali langu, Je, ikithibitika ni kweli Nawanda alimlawiti yule binti, zile pesa milioni 10 alizopewa binti atazirudisha au zitakuwa zake au??
Wanasheria mtusaidie hapa. Maana binti aliulizwa ulipewa kiasi gani na Nawanda. Akajibu, alipewa milioni 10 cash. Anazo na hajazitumia hata shilingi.
Alisema hakuzishika wala kuzihesabuWacha haki itendeke. Swali langu, Je, ikithibitika ni kweli Nawanda alimlawiti yule binti, zile pesa milioni 10 alizopewa binti atazirudisha au zitakuwa zake au??
Wanasheria mtusaidie hapa. Maana binti aliulizwa ulipewa kiasi gani na Nawanda. Akajibu, alipewa milioni 10 cash. Anazo na hajazitumia hata shilingi.