Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemuachia kwa dhamana aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda leo July 09,2024 baada ya kupandishwa kizimbani katika Mahakama hiyo na kusomewa shtaka moja la kulawiti.

Dkt. Nawanda amepandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza, Erick Marley na kusomewa shtaka hilo na Waendesha mashtaka wa Serikali, Magreth Mwaseba na Martha Mtiti.

Kwa mujibu wa Mwaseba, Mshtakiwa alitenda kosa hilo kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.

“Mshtakiwa, Yahaya Nawanda, Mkazi wa Nyamata Wilaya Bariadi Mkoani Simiyu unashtakiwa kwa kosa la kumwingilia kinyume na maumbile kumlawiti Tumsime Ngemela, kosa ulilolitenda June 02, 2024 eneo la maegesho ya magari lililoko Rocky City Mall Wilayani llemela Mkoani Mwanza”

Mara baada ya kusomewa shtaka hilo, Dkt. Nawanda aliambiwa dhamana ya shtaka lake ipo wazi ambapo amekidhi masharti na kuachiwa kwa dhamana hadi shtaka hilo litakapotajwa tena.

#MillardAyoUPDATES
 
Namsikitikia Nawanda jinsi alivyochafuka na hii kashfa.Yote kayataka mwenyewe tu kwa kukosa vigilance.
Huyu Binti kwa ripoti ya Daktari imethibitisha kuwa kitu butu kiliingizwa kwenye sehemu yake ya haja kubwa.
Na kwamba Polisi walipokwenda kumkagua chumbani kwake Binti walichukua tishu na toilet papers ambazo Binti anadai kuzitumia alipotoka kukutana na Nawanda,wamezipeleka kwa Mkemia kuthibitisha kwenye vinasaba kama tishu hizo Zina manii za mtuhumiwa.

Kitu butu ni dhana Pana,inaweza kuwa Uume,Uume wa bandia au chochote kile kisichokuwa na ncha.Hata tango au karoti inaweza kuwa kitu butu tu.
Binti atathibitisha vipi kama mtuhumiwa alimuingilia kinyume na maumbile kwa nguvu?!..baada ya tendo Binti anasema aliondoka kuelekea chuo,Polisi ameenda kushtaki kesho yake!!
Huo muda wote hapo,kwa watu waliodhamiria kukutengenezea kashfa unatosha kabisa kukumaliza.

Kwa muktadha wa hii kesi,Jamhuri wanategemea hizo tishu zilizoenda kwa Mkemia Ili kumtia hatiani mtuhumiwa.Hizo tishu anaweza kuwa alijifuta manii baada ya kufanya mapenzi kwa njia ya Kawaida.
Hicho kitu butu madaktari wanachosema kiliingia kwenye sehemu ya haja kubwa ya muhusika kinaweza kuwa chochote na sio lazima uwe Uume wa mtuhumiwa!
Huyu Binti kama alivyosema mwenyewe kuwa alikuwa na mahusiano na mtuhumiwa,Nina mashaka kuwa ametumiwa na mahasimu wa Kisiasa wa Nawanda.

Maana kiukweli Nyota yake ilikuwa inan'gaa sana.
Mahakama itende Haki,kama Yahaya Nawanda ana makosa kwenye hili aadhibiwe.Kama Hana Makosa asafishwe,na alipwe fidia kubwa.
Tutafute pesa tuu. Hii dunia ukiwa mnyonge huna chako. Mtu akisoma bandiko lako ni ukweli kwamba wewe uko more concerned na huyu Nawanda, nyota ya jamaa kisiasa nk...Kwako huyu binti ni footnote.
 
Fidia atakayodaiwa huyo binti ni kubwa, waliomtuma hawatweza kumlipia, na atafungwa.

Alimuonea tu bodaboda wa Mpanda kwa sababu hakuwa na mwanasheria, safari hii ameyakanyaga.

Huo ushahidi wake ni kutengeneza, utachakazwa vikali kwny cross examination ya mwanasheria mahiri.
 
serikali inavombeba nawandaa
FB_IMG_1720366028859_1.jpg
 
Kama vipimo vya maabara vimethibitisha! Sijui kama atachomoka.
Mkuu upo dunia ipi?

Mtu kaua yule billionea wa Tanzanite na vithibitisho vipo lakini akatemwa mchana kweupe kuwa hajaua!

Mahakama za Tz ni za kuziamini?

Tena m. 10 aliyoitoa kwa huyo malaya kumzibisha mdomo, ingelifanya kazi mahakamani, waalah ingelimtoa fasta na heshima yake juu kusafishwa.

Nchi hii kwa sasa, hakuna kesi inayoitwa ni ya "Public interest" , kesi yoyote inapindishwa tu bila haya wala soni, mradi mtuhumiwa amefika bei.
 
Tutafute pesa tuu. Hii dunia ukiwa mnyonge huna chako. Mtu akisoma bandiko lako ni ukweli kwamba wewe uko more concerned na huyu Nawanda, nyota ya jamaa kisiasa nk...Kwako huyu binti ni footnote.
Sio kweli.Huyo Binti ana Historia hiyo ya kubambikia watu kesi.
Mfano Dereva bodaboda kwao Sumbawanga,walitaka kumtoa kafara na Mama yake!
Mahakama ikamuondolea kosa la ubakaji,maana Binti kwenye mahojiano Mahakamani alikiri kuwa walikuwa wapenzi.
Kwa case ya Nawanda,nawajua baadhi ya mabinti wa chuo na tamaa zao.Wanaweza kufanya chochote kwa sababu ya pesa.
Ndio maana tumeiachia Mahakama itende Haki.
Kwangu Mimi Binadamu wote ni sawa.Hiaijalishi Cheo,Pesa,Nguvu,Madaraka au Jinsia.
 
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.

Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022

Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.

Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.

Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.
 
Marefa wasisahau kukagua VAR mara mbilimbili ili kuepusha uonevu na upendeleo.
 
Back
Top Bottom