Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Attachments

  • 20240709_155414.jpg
    20240709_155414.jpg
    3.3 MB · Views: 1
Namsikitikia Nawanda jinsi alivyochafuka na hii kashfa.Yote kayataka mwenyewe tu kwa kukosa vigilance.
Huyu Binti kwa ripoti ya Daktari imethibitisha kuwa kitu butu kiliingizwa kwenye sehemu yake ya haja kubwa.
Na kwamba Polisi walipokwenda kumkagua chumbani kwake Binti walichukua tishu na toilet papers ambazo Binti anadai kuzitumia alipotoka kukutana na Nawanda,wamezipeleka kwa Mkemia kuthibitisha kwenye vinasaba kama tishu hizo Zina manii za mtuhumiwa.

Kitu butu ni dhana Pana,inaweza kuwa Uume,Uume wa bandia au chochote kile kisichokuwa na ncha.Hata tango au karoti inaweza kuwa kitu butu tu.
Binti atathibitisha vipi kama mtuhumiwa alimuingilia kinyume na maumbile kwa nguvu?!..baada ya tendo Binti anasema aliondoka kuelekea chuo,Polisi ameenda kushtaki kesho yake!!
Huo muda wote hapo,kwa watu waliodhamiria kukutengenezea kashfa unatosha kabisa kukumaliza.

Kwa muktadha wa hii kesi,Jamhuri wanategemea hizo tishu zilizoenda kwa Mkemia Ili kumtia hatiani mtuhumiwa.Hizo tishu anaweza kuwa alijifuta manii baada ya kufanya mapenzi kwa njia ya Kawaida.
Hicho kitu butu madaktari wanachosema kiliingia kwenye sehemu ya haja kubwa ya muhusika kinaweza kuwa chochote na sio lazima uwe Uume wa mtuhumiwa!
Huyu Binti kama alivyosema mwenyewe kuwa alikuwa na mahusiano na mtuhumiwa,Nina mashaka kuwa ametumiwa na mahasimu wa Kisiasa wa Nawanda.

Maana kiukweli Nyota yake ilikuwa inan'gaa sana.
Mahakama itende Haki,kama Yahaya Nawanda ana makosa kwenye hili aadhibiwe.Kama Hana Makosa asafishwe,na alipwe fidia kubwa.
Usiwe na haraka subiria kesi ianze. Yote hayo yatajibiwa ndio maana kapelekwa mahakamani kesi isikilizwe na haki ipatikane.
 
Una uhakika na unalotuhumu?
Chuki inakusumbua; kutuhumiwa sio lazima mtu awe Ametenda kosa kweli. Mahakama Itapima na kuamua kwa mujibu wa ushahidi
 
Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti

Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke

Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.

====

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.

Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022

Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.

Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.

Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.

Pia soma
Mbona walawiti wengine Huwa hawaachiwi?
 
Hapo kwenye ku prove kama kweli alilawitiwa ndipo penye mtihani. Swali ni Je, baada ya kulawitiwa alikwenda hospital na kupimwa?

Je, kuna ushahidi wa manii za mtuhumiwa kwenye tigo ya binti?

Maswali ni mengi sana.
Alikwenda hospitali ndiyo. Shida itakuwa nani sasa kafanya hivyo? Maana tuhuma tu siyo ushahidi; ushadi ni kuithibitishia mahakama kwamba aliyefanya hivyo ni huyu mkuu. Nani aliona? Kama aliona ataonyeshaje alivyoona, na unajua mawakili walivyo vibaya kwenye cross-examination, wanakutoa kwenye reli hata kama una nondo. Yaani, ngoja tusubiri maana nilisikia kama upelelezi umekamilika.
 
Back
Top Bottom