Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Maana kiukweli Nyota yake ilikuwa inan'gaa sana.
Nyota ipi huyo kil.aza alikua nayo? Yaani waache kumpa kesi Mpina wampe huyo zero brain? We usubiri issue kuwa kwenye uke au njia ya haja kubwa kwamba wakemia hawajui tofauti au ndio unaleta ujuaji tu?

Nyie mkae kwa kutulia subirini ushahidi na vielelezo I believe hata kuna message alimtumia kumuomba radhi kumuingilia so yote yatawekwa wazi tu.
 
1000132933.jpg

Jamaa bingwa la vinyeo hapa lina panda mti ila limeona kishimo cha mti mawazo hayako hapo kashakumbuka kijambio cha mtu hapo shenzi
 
Sio kweli.Huyo Binti ana Historia hiyo ya kubambikia watu kesi.
Mfano Dereva bodaboda kwao Sumbawanga,walitaka kumtoa kafara na Mama yake!
Mahakama ikamuondolea kosa la ubakaji,maana Binti kwenye mahojiano Mahakamani alikiri kuwa walikuwa wapenzi.
Kwa case ya Nawanda,nawajua baadhi ya mabinti wa chuo na tamaa zao.Wanaweza kufanya chochote kwa sababu ya pesa.
Ndio maana tumeiachia Mahakama itende Haki.
Kwangu Mimi Binadamu wote ni sawa.Hiaijalishi Cheo,Pesa,Nguvu,Madaraka au Jinsia.
Kama ingekuwa nchi kama Marekani ambako kuna makampuni ya uchunguzi yaliyosajiliwa kampuni mojawapo ingepewa kazi na wakili wa mtuhumiwa kuchunguza credibility ya huyo binti yaani matendo yake ya nyuma , kama aliwahi kudanganya kwa masuala ya kisheria, ikithibitika aliwahi kuongopa basi kesi ingetupwa. Rejea kesi ya Rais wa zamani wa banki ya Dunia ilikuwa kama hii. Kuna binti mfanyakazi wa hoteli alimpakazia kuwa amembaka, Huyo binti anatoka Africa Magharibi, basi hiyo kampuni ikafanya uchunguzi ikaonekana huko nyuma huyo binti wakati anaomba visa kuingia Marekani aliwahi kudanganya hivyo sio credible; kwa,msingi huo kesi ya ubakaji dhidi ya Rais huyo wa zamani wa benki ya dunia ikatupwa.
 
Hiyo kesi ipo,na hukumu yake Kuna Member aliileta humu.@Mama Aron or Mama Amon,sikumbuki vizuri.
 
Back
Top Bottom