Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi yule wa Kilwa na Manyara?Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti
Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke
Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.
====
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.
Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022
Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.
Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.
Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.
Pia soma
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo
- RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda
Yaani uliyetoa post haujui maana ya credibility na una ufahamu mdogo sana wa kesi za jinai. kwa kukusaidia;Kama ingekuwa nchi kama Marekani ambako kuna makampuni ya uchunguzi yaliyosajiliwa kampuni mojawapo ingepewa kazi na wakili wa mtuhumiwa kuchunguza credibility ya huyo binti yaani matendo yake ya nyuma , kama aliwahi kudanganya kwa masuala ya kisheria, ikithibitika aliwahi kuongopa basi kesi ingetupwa. Rejea kesi ya Rais wa zamani wa banki ya Dunia ilikuwa kama hii. Kuna binti mfanyakazi wa hoteli alimpakazia kuwa amembaka, Huyo binti anatoka Africa Magharibi, basi hiyo kampuni ikafanya uchunguzi ikaonekana huko nyuma huyo binti wakati anaomba visa kuingia Marekani aliwahi kudanganya hivyo sio credible; kwa,msingi huo kesi ya ubakaji dhidi ya Rais huyo wa zamani wa benki ya dunia ikatupwa.
Inawezekana au wameshalipwa mkwanja wao mrefu,wamepiga kimya.Kwamba alikuwa anahitaji pesa nyingi zaidi alizopewa yeye na mama yake??
Sijui ulisikiliza maelezo ya huyo binti.Ameshitakiwa kwa kesi ndogo tuu, consensual relationship na sio ubakaji, hii ni kesi very light, akipata wakili mzuri, hakuna kesi hapo!.
Sheria ya Kanuni ya adhabu
Kwa mujibu wa kifungu cha sheria namba 154 (1) cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, kinasema kwamba, mtu yeyote ambaye (a) anamuingilia mtu yeyote kinyume na maumbile au, (b) anamuingilia mnyama kimwili au (c) anamruhusu mwanaume kumwingilia yeye mwanaume au mwanamke kinyume na maumbile atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini.
Defence yake ni "binti ni mpenzi wake, katika kukuru kakara, ikapotea tuu njia, ndio ikapenye uwani, but it was not planned, its an accident!. Ukifanya jinai ya actus reus bila mens rea, japo ni kosa, lakini huna hatia!.
Hii kesi imeisha kabla haijaanza!.
Niliwahi kusema humu
Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?.
P
Itajulikana tu, kuna wakati Bashite aliamuru watu wapimwe hicho kipimo Dar.Vipimo vya maabara wanapima nini?
Ndio, ni ushahidi mzito sana kama jaji ataona hakuna mtu yeyote nyuma ya huyo binti na wala hakushitaki hiyo kesi kujipatia pesa kwa udanganyifu.Of course, ni maswali mazuri ya kujiuliza. Lakini je, ndiyo ushahidi kuonyesha kwamba "alilawiti"?
Hujasikia huyo binti anasema mama yake alipewa milioni 3 na yeye alipewa milioni 10??Inawezekana au wameshalipwa mkwanja wao mrefu,wamepiga kimya.
Baadae kesi itafutwaAmeburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti
Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke
Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.
====
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.
Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022
Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.
Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.
Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.
Pia soma
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo
- RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda
KabisaHuko haki itapatkana. Kama anasingiziwa itajulikana.
Atachomoka hii nchi wa kufungwa ni masikini pekeeKama vipimo vya maabara vimethibitisha! Sijui kama atachomoka.
Sema faza naye alikuwa ni mzinzi snCheo ni dhamana,uwa wanajisahau safi sana
Ameonekana mpk kwenye TVHebu tuwekee kapicha ka huyo mzee wa kinyesi akiwa mahakamani.
Noma sana!Sema faza naye alikuwa ni mzinzi sn
umefikiria vizuri sana.Kwa nini aliwapa pesa huyo binti na mama yake?
Kwa nini alimwandikisha huyo binti barua inayosema alikuwa anatumika kisiasa?
Kwa nini mkuu wa mkoa wa Mwanza alikuwa anaingilia kesi ya huyo binti?
Huyo binti alipopimwa hospitali matokeo yalikuwa ni yapi?
Hii kesi inaweza kuisha vizuri kwa Nawanda kama haya yote hayakutokea au kwa kuvuruga tu ushahidi wote huu.