Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti

Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke

Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.

====

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.

Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022

Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.

Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.

Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.

Pia soma
Shameful....

Pascal Mayalla
 
Hapa inatakiwa mashirika ya kutetea kinamama yaingilie kati kumsaidia binti, hata ikibidi wale mawakili waliomtoa jela yule aliemdhihaki Mh Rais nao wamsaidie binti maana hii sasa ni ligi kati ya Yanga na Faru Dume, jamaa atavunja benki kuhakikisha anashinda japo the damage is already done!!
 
Ameshitakiwa kwa kesi ndogo tuu, consensual relationship na sio ubakaji, hii ni kesi very light, akipata wakili mzuri, hakuna kesi hapo!.
Sheria ya Kanuni ya adhabu

Kwa mujibu wa kifungu cha sheria namba 154 (1) cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, kinasema kwamba, mtu yeyote ambaye (a) anamuingilia mtu yeyote kinyume na maumbile au, (b) anamuingilia mnyama kimwili au (c) anamruhusu mwanaume kumwingilia yeye mwanaume au mwanamke kinyume na maumbile atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini.

Defence yake ni "binti ni mpenzi wake, katika kukuru kakara, ikapotea tuu njia, ndio ikapenye uwani, but it was not planned, its an accident!. Ukifanya jinai ya actus reus bila mens rea, japo ni kosa, lakini huna hatia!.
Hii kesi imeisha kabla haijaanza!.
Niliwahi kusema humu

Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?.​

P
Uzee umekuingia aisee, Kila kitu unarahisisha tu.
 
umefikiria vizuri sana.

1. kwanini aliwapa pesa (kuna ushahidi wa printout za voda na bank naamini watazitoa hwezi kwepa hilo, bank huwa haidanganyi, ruge alisema ogopa Mungu na tech).

2. kwanini alimwandikisha binti? binti ashatoa explanation why? imebaki kwake namwanda, aje aeleze mahakamani kama yeye hakuwa na uhusiano na binti ilikuwaje wamchukue na kumpeleka hotelini na kumwandikisha, na kwani amtaje yeye na si wengine, basi atataja na hao anaohofia kuwa wanamtuma binti kama ana ushahidi.

3. kwanini mkuu wa Mko mwanza aliingilia kesi? kwa ninavyoifahamu mahakama, watajiuliza, kama binti angekuwa anadanganya, kweli Mkuu wa Mkoa mwanza au namwanda baada ya kuandikisha barua, kwanini hawakummpeleka mahakamani kwa kusema uongo kwa mtu mkubwa kama yeye? kwanini walimute? wataishia kukiamini kile binti amekieleza.

4. binti alipopimwa ilionekana alilawitiwa, na zaidi ya yote, kwenye kesi kama hizo, cha muhimu huwa uwezekano wa penetration, sio lazima michubuko au shahawa kuonekana kwenye anus au k, penetration however slight inatosha hata bila kuchubua.

5. kinachombana, ni kwanini alianza kuhonga, kupiga simu kwa rafiki zake, kwa mama alienda n.k kama hakuwa na mahusiano naye. adi sasaivi naamini jamhuri wameshajihakikishia kwamba hakuna ubishi kwamba RC alikuwa na mahusiano na binti, na yeye naamini hatakataa manake watauliza iweje binti kama huyu akutaje wew mtu mkubwa namna hii asitaje wengine kama hamkuwa mnajuana naye kabla? na haujachukua hatua yeyote hata baada ya kusemekana amesema anatumika kisiasa kwa barua ambayo polisi waligoma kuitambua.

6. watamwuliza, kama haukutenda kosa, ilikuwaje uhangaike hivyo na usikanushe hata kwa vyombo vya habari tu. kweli RC utuhumiwe na kitoto kama kile halafu unyamaze tu kimya hadi leo kama haukutenda, inawezekanaje? jamaa yetu kimemramba. kwa wanaojua sheria, hapo ameenda.

zaidi sana, nilishawahi kushindwa kesi kwa NAMNA hii hii, jamhuri walikuja na selemani makumba vs republic, kesi inasema ushahidi wa victim ni wa kuaminika zaidi kwasaAAAbabu yeye ndiye aliexperience tukio hivyo binti akinyooka tu, umeisha. bye bye X-RC.
4 hapo, kama sio lazima wakute shahawa za mtuhumiwa wanaweza kuthibitisha vp kwamba Alie lawiti ni ni yeye

6 Hapo . Kwanini tumwamini victim vp kama ametumika ua amejituma kwa visasi vyake binafsi
 
Ndio, ni ushahidi mzito sana kama jaji ataona hakuna mtu yeyote nyuma ya huyo binti na wala hakushitaki hiyo kesi kujipatia pesa kwa udanganyifu.
Nionavyo mimi kujiuliza tu maswali si ushahidi. Ushahidi, kwa msingi wa kesi hii, ni ule unaoonyesha kuwa huyo mkuu kamlawiti huyo binti hiyo siku, muda na mahali anapodai hicho kitendo kilitendeka.
 
umefikiria vizuri sana.

1. kwanini aliwapa pesa (kuna ushahidi wa printout za voda na bank naamini watazitoa hwezi kwepa hilo, bank huwa haidanganyi, ruge alisema ogopa Mungu na tech).

2. kwanini alimwandikisha binti? binti ashatoa explanation why? imebaki kwake namwanda, aje aeleze mahakamani kama yeye hakuwa na uhusiano na binti ilikuwaje wamchukue na kumpeleka hotelini na kumwandikisha, na kwani amtaje yeye na si wengine, basi atataja na hao anaohofia kuwa wanamtuma binti kama ana ushahidi.

3. kwanini mkuu wa Mko mwanza aliingilia kesi? kwa ninavyoifahamu mahakama, watajiuliza, kama binti angekuwa anadanganya, kweli Mkuu wa Mkoa mwanza au namwanda baada ya kuandikisha barua, kwanini hawakummpeleka mahakamani kwa kusema uongo kwa mtu mkubwa kama yeye? kwanini walimute? wataishia kukiamini kile binti amekieleza.

4. binti alipopimwa ilionekana alilawitiwa, na zaidi ya yote, kwenye kesi kama hizo, cha muhimu huwa uwezekano wa penetration, sio lazima michubuko au shahawa kuonekana kwenye anus au k, penetration however slight inatosha hata bila kuchubua.

5. kinachombana, ni kwanini alianza kuhonga, kupiga simu kwa rafiki zake, kwa mama alienda n.k kama hakuwa na mahusiano naye. adi sasaivi naamini jamhuri wameshajihakikishia kwamba hakuna ubishi kwamba RC alikuwa na mahusiano na binti, na yeye naamini hatakataa manake watauliza iweje binti kama huyu akutaje wew mtu mkubwa namna hii asitaje wengine kama hamkuwa mnajuana naye kabla? na haujachukua hatua yeyote hata baada ya kusemekana amesema anatumika kisiasa kwa barua ambayo polisi waligoma kuitambua.

6. watamwuliza, kama haukutenda kosa, ilikuwaje uhangaike hivyo na usikanushe hata kwa vyombo vya habari tu. kweli RC utuhumiwe na kitoto kama kile halafu unyamaze tu kimya hadi leo kama haukutenda, inawezekanaje? jamaa yetu kimemramba. kwa wanaojua sheria, hapo ameenda.

zaidi sana, nilishawahi kushindwa kesi kwa namna hii hii, jamhuri walikuja na selemani makumba vs republic, kesi inasema ushahidi wa victim ni wa kuaminika zaidi kwasababu yeye ndiye aliexperience tukio hivyo binti akinyooka tu, umeisha. bye bye X-RC.
Kipengele cha kumpa pesa pekee sio sufficient kwani huko nyuma kabla ya hilo tukio ikithibitika alikuwa anampa binti hela na pia alikuwa ana tabia ya kumpa mamaye binti huoni hapo hoja ya kupewa hela ili kuzima tukio itakuwa haina mashiko kwa sababu ni kawaida wapenzi kupeana pesa.
 
KAMA ATAHUKUMIWA KIFUNGO NA RUFAA ZOTE ZIKATUPWA , YAANI AKAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISGA AKAKATA RUFA, NA RUFAA AKASHINDWA NJOONI NIWAPE MIL 1
 
Kipengele cha kumpa pesa pekee sio sufficient kwani huko nyuma kabla ya hilo tukio ikithibitika alikuwa anampa binti hela na pia alikuwa ana tabia ya kumpa mamaye binti huoni hapo hoja ya kupewa hela ili kuzima tukio itakuwa haina mashiko kwa sababu ni kawaida wapenzi kupeana pesa.
Huko nyuma pia alikuwa anawatafuta marafiki wa mpenzi wake ili aweze kumfikia na kumpa mamilioni ya pesa mpenzi wake??
 
Subiri hukumu ila msije kulialia kuwa mahakama haijatenda haki.
 
Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti

Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke

Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.

====

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.

Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022

Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.

Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.

Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.

Pia soma
 
Ameshitakiwa kwa kesi ndogo tuu, consensual relationship na sio ubakaji, hii ni kesi very light, akipata wakili mzuri, hakuna kesi hapo!.
Sheria ya Kanuni ya adhabu

Kwa mujibu wa kifungu cha sheria namba 154 (1) cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, kinasema kwamba, mtu yeyote ambaye (a) anamuingilia mtu yeyote kinyume na maumbile au, (b) anamuingilia mnyama kimwili au (c) anamruhusu mwanaume kumwingilia yeye mwanaume au mwanamke kinyume na maumbile atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini.

Defence yake ni "binti ni mpenzi wake, katika kukuru kakara, ikapotea tuu njia, ndio ikapenye uwani, but it was not planned, its an accident!. Ukifanya jinai ya actus reus bila mens rea, japo ni kosa, lakini huna hatia!.
Hii kesi imeisha kabla haijaanza!.
Niliwahi kusema humu

Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?.​

P
We mzee tunakuheshimu sana unajua ,alafu unaanza kumtetea jamaa kwa blah blah yani iteleze mpaka imwage kinyesi? Iteleze mpaka amwagie manii humo humo? Labda tafsiri raisi ya kuteleza ni kutoa pale pale na kurudisha sehemu safi na salama

Yani jitu mpaka linamkojolea binti ambaye kwa umri wako ni sawa na vijana wako kabisaa leo hii kirahisi tu ,

Unasema kesi rahisi Anko Pasco umekosea
 
Back
Top Bottom