DMZ: Kwanini sasa kuelekea uchaguzi jeshi la polisi wanasema matukio ya sasa kuwa umewamaliza ?

DMZ: Kwanini sasa kuelekea uchaguzi jeshi la polisi wanasema matukio ya sasa kuwa umewamaliza ?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hapa kushusha presha za watu kuna watu wanaweza kupoteza haki zao au kuwekwa sehemu ya serikali ya CCM kuonekana kuwa utekaji ni wananchi.

Hii ripot ya Mbeya, Iringa na sasa kuna watu washawekewa kifo ambavyo vitasemwa kuwa biashara,madeni,mapenzi na n.k.

Usalama naomba DMZ mtakuja kujutua familia zenu.
 
Hii habari inawahusu akina nani?
Baadhi yetu hatukuelewi
 
Hii nchi bila comedy haiendi mbele kabisa, inadumaa hapohapo wala haikui...
 
Back
Top Bottom