The mountain lion
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,153
- 418
Hiyo kitu ya kupima DNA siifanyi,bora niishi kwa matumaini kuwa ninaowalea ni watoto wangu.
HahahHah...
Wanaume mna kazi...POLENI!!
Wanaume mtakoma
Umeona eeeh kupima DNA ni kumdhalilisha mwanamke
ukute anamuita my lovely dad leo eti si wake?? dah inauma ilibidi bobi atumie busara amwambie mama yake then waone ustarabu
Umeona eeeh kupima DNA ni kumdhalilisha mwanamke
kwa mtoto ametenda ukatili....bora angekata mawasiliano kidogo kidogo sasa haoni kama atamuathiri mtoto......kwa mtoto amefanya maamuzi magumu na kwa haraka sana.......kitu ambacho nakiona si kizuri........
So ni bora uendelee kujidanganya kwamba mtoto ni wako wakati si wako.Acha woga wewe kapime watoto kama ni wako chukua uamuzi mgumu sio unalea mitoto ambayo sio yako.!
Mwanamke kajidhalilisha mwenyewe, sa kwanini alidanya for solid 7 yrs kuwa mtoto ni wa Bob Wine wakati akijua fika kuwa si wa Bob?
Ahhhh..Tena kubwa aiseee kwanini mna tutesa
Asante
Ahhhh..
Nyie wenyewe mnatutesa sana, ndo tunalipiza kwa style hiyo.
Hata mimi sijapenda. Alafu eti anamwambia "i'm sorry but its your mother's fault.". Huyo mtoto atawezaje kuendelea kujiona 'part of the family' kwa kauli kama hizo?! Vitu vingine sio lazima mtu useme in public. Toa taarifa kama unaona ni LAZIMA kisha kaa kimya.
Ahhhh..
Nyie wenyewe mnatutesa sana, ndo tunalipiza kwa style hiyo.
Dada zetu bhana yaani hamuoni ujjinga wa huyo dada ila kibao kinageuzwa kwa mwanaume via mgongo wa mtoto!!!!!
Akamatafutie babake halali mtoto awe na "father" na "parter". . . . . .!!
Umeona eeeh kupima DNA ni kumdhalilisha mwanamke
kwahiyo kama hapo nani kamdhalilisha mwenzake? mwanamke au mwanaume?
Wanaume mtakoma
Dada zetu bhana yaani hamuoni ujjinga wa huyo dada ila kibao kinageuzwa kwa mwanaume via mgongo wa mtoto!!!!!
Akamatafutie babake halali mtoto awe na "father" na "parter". . . . . .!!
Yeahh...
Sema mastar wetu hawa wanapenda publicity sana ndo maana kafunguka dunia nzima ijue.