DNA test aliyoifanya mwanamuziki Bobi Wine yaonyesha kuwa mtoto aliyemlea kwa miaka saba sio wake

DNA test aliyoifanya mwanamuziki Bobi Wine yaonyesha kuwa mtoto aliyemlea kwa miaka saba sio wake

kwa mtoto ametenda ukatili....bora angekata mawasiliano kidogo kidogo sasa haoni kama atamuathiri mtoto......kwa mtoto amefanya maamuzi magumu na kwa haraka sana.......kitu ambacho nakiona si kizuri........

kafanya lililo jema

tatizo lenu akina mama whenever things turn to your faults, you always find a way to blame the other party

He did it the right way, telling the truth after living a lie for years
 
So ni bora uendelee kujidanganya kwamba mtoto ni wako wakati si wako.Acha woga wewe kapime watoto kama ni wako chukua uamuzi mgumu sio unalea mitoto ambayo sio yako.!

Dah yani wanawake ni nomaa yani anakucheka kila cku ukimlea mtoto wa dume lake aisee nikjua hafu anakuita beby sheh nzi sanaa
 
Mwanamke kajidhalilisha mwenyewe, sa kwanini alidanya for solid 7 yrs kuwa mtoto ni wa Bob Wine wakati akijua fika kuwa si wa Bob?

Kitanda hakizai haramu mm labda umpime mtoto umkute sio wako ila ukimkuta wako mahakaman patakuhusu y unidhalilishe kwa kutokujiamin kwako
 
Ahhhh..
Nyie wenyewe mnatutesa sana, ndo tunalipiza kwa style hiyo.

Tungewatesa nyie mngeenda kuishi wapi hizo raha tunazo wapa na upendeleo wa hali juu kabisa bado tu
 
Hata mimi sijapenda. Alafu eti anamwambia "i'm sorry but its your mother's fault.". Huyo mtoto atawezaje kuendelea kujiona 'part of the family' kwa kauli kama hizo?! Vitu vingine sio lazima mtu useme in public. Toa taarifa kama unaona ni LAZIMA kisha kaa kimya.

Khaaaaa! Sasa angefanyaje?
Nyie mnadhani haijamuuma jamaa?
 
Dada zetu bhana yaani hamuoni ujjinga wa huyo dada ila kibao kinageuzwa kwa mwanaume via mgongo wa mtoto!!!!!

Akamatafutie babake halali mtoto awe na "father" na "parter". . . . . .!!

babake atamtoa wapi mtoto kashakuwa mkubwa hivyo? umpelekee mtu useme huyu mwanao blah blah stori ilikuwa 1,2,3 kueleweka ni kazi nzito
 
Dada zetu bhana yaani hamuoni ujjinga wa huyo dada ila kibao kinageuzwa kwa mwanaume via mgongo wa mtoto!!!!!

Akamatafutie babake halali mtoto awe na "father" na "parter". . . . . .!!

Wanawake bwana viumbe wa ajabu sana binafsi sijaona kosa la huyo mwanaume yupo sahihi kabisa uamuz aliochukua yaani unicheat,nilee mimba sio ya kwangu then nigharamike Mtoto kumlea nigundue eti nikae kimya ningekuwa Mimi moto wake usingezimwa kirahisi jamaa kasamehe kindezi sana
 
Yeahh...
Sema mastar wetu hawa wanapenda publicity sana ndo maana kafunguka dunia nzima ijue.

hakufunguka hii issue ni ya muda kidogo na ilikuwa inaendeshwa down low lakini wapambe wakazipata wakaanza kuzitawanya mpaka kwenye vyombo vya habari kwahiyo ndio maana ikabidi juzi atangazie umma tu nini kimetokea lakini ilishajulikana na nchi nzima,,,kuna mtu aliilikisha information..kwahiyo alikuwa hana jinsi tena...unajua tena ukiwa star kila kitu kwako ni habari kwa watu
 
Back
Top Bottom