DNA test aliyoifanya mwanamuziki Bobi Wine yaonyesha kuwa mtoto aliyemlea kwa miaka saba sio wake

Ganja republic. Bad man from kamwokya. Hahaha atakuwa alikula bangi sana siku hiyo
 
Kiherehere chake,
Wanaume wenzie wanalea watoto kibao ambao siyo wao.
 
Yani wanawake wapuuzi mmekomaa kumlaumu Bobby wakati huyo malaya mnaona ni sawa alichofanya? Wote mnaosapoti nanyie ni ma,,,l,,,,,,,,a tu
 

Hilo ni kosa la mama yke hivi uchungu wa kusingiziwa mtoto unaujua,kuna wengne uvumilivu huwashinda mpka kufikia kuua mtoto.huyo bobi hpo yupo sahihi kabisa tena wamrudishie gharama zote kwa miaka 7
 
unajua mama sawa unaweza mfanya chochote.....ila kwa swala la mtoto lazma uwe na huruma.........fikilia mtoto kwa miaka 7 anakuita baba afu gafla unamwambia mie siyo baba yako.......alitakiwa aende nae taratibu kumtoa katika ile hali.......
kama ni huruma, kwanini huyo cheater asingekua na huruma na kumwambia ukweli mtoto from day 1?? tatizo lenu nyie kila kitu has to be a responsibility of someone else

Imagine, unafika 8 years ndio baba wa kufikia anakuambia wewe sio mwanangu, babako ni mwingine muulize mama yako how will that go down with you?? its like youur mama has been lying to you and everyone else for all these years... anger, fear and hate will definitely come to you, but to who?? aliyekuambia ukweli?? au aliyekudanganya??
 
Hilo ni kosa la mama yke hivi uchungu wa kusingiziwa mtoto unaujua,kuna wengne uvumilivu huwashinda mpka kufikia kuua mtoto.huyo bobi hpo yupo sahihi kabisa tena wamrudishie gharama zote kwa miaka 7

najua kosa la mama yake lakini huyo mtoto unamfanyaje .....?
 

sijakataa.....ila nimeangalia jinsi bob alivyoitangaza hiyo ishu kwenye mtandao....? mie huruma kwa mtoto....mama alikosea lakini dah baba nawe unafanyaje kutomuongezea mtoto machungu.....
 

sijui labda kweli hayajanikuta.....lakini nilivyo na huruma kwa mtoto sijui kama ningeweza kufanya alichofanya Bob.....
 
mtoto mwenyewe ndio yule aliyekuwa anaonekana amesimama pembeni ya cadillac escalade ya Bobby Wine kwenye tangazo la EATV kipndi cha Uganda?
 
Science isn't perfect, pia kuchepuka huwa ni kawaida kwa wanawake. Tangu enzi na enzi huwa iko ivo. Ukizaa nae na kuhesabu 12 basi 2-4 sio wako
 
Alichokosea kuelezea issue nzima kwenye vyombo vya habari, umaarufu wa kibwege huu, watu wengine wala walikuwa hawajui kama ana mtoto London. Kuna vitu vingine ni vya kifamilia zaidi, lakini hawa wasanii katuni akili ndogo na washauri hawana basi tafarani tu. Huu ni ukatili uliopitiliza.
 
Ila mazee kama alimix midume mieili kwa space ya hours of which many ladies can hata yeye inawwzekana alikuwa hajui akaona ambandike anaeona atamlea poa dah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…