Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha msinipopoe mawe jaman
Kiherehere chake,
Wanaume wenzie wanalea watoto kibao ambao siyo wao.
ishu si kukaa kimya....ishu ni yule mtoto kuikubali ile hali kirahisi.....unadhani haitamwathiri kisaikolojia....? alitakiwa akae nae amweleze hali halisi .....na uku akimpa maneno ya matumaini....but alichofanya ni kama kumfukuza na kuwa na hasira nae......
Kiherehere chake,
Wanaume wenzie wanalea watoto kibao ambao siyo wao.
kama ni huruma, kwanini huyo cheater asingekua na huruma na kumwambia ukweli mtoto from day 1?? tatizo lenu nyie kila kitu has to be a responsibility of someone elseunajua mama sawa unaweza mfanya chochote.....ila kwa swala la mtoto lazma uwe na huruma.........fikilia mtoto kwa miaka 7 anakuita baba afu gafla unamwambia mie siyo baba yako.......alitakiwa aende nae taratibu kumtoa katika ile hali.......
Hilo ni kosa la mama yke hivi uchungu wa kusingiziwa mtoto unaujua,kuna wengne uvumilivu huwashinda mpka kufikia kuua mtoto.huyo bobi hpo yupo sahihi kabisa tena wamrudishie gharama zote kwa miaka 7
kama ni huruma, kwanini huyo cheater asingekua na huruma na kumwambia ukweli mtoto from day 1?? tatizo lenu nyie kila kitu has to be a responsibility of someone else
Imagine, unafika 8 years ndio baba wa kufikia anakuambia wewe sio mwanangu, babako ni mwingine muulize mama yako how will that go down with you?? its like youur mama has been lying to you and everyone else for all these years... anger, fear and hate will definitely come to you, but to who?? aliyekuambia ukweli?? au aliyekudanganya??
Hiyo ni ngumu sana unavyotaka wewe unashauri hivyo coz haupo kwenye situation husika ungekuwa umetendewa wewe hivo sidhani kama ungeongea hivyo,lawama zote ni kwa mwanamke tena ni muuaji kabisa angekuwa anaupendo wa kweli angeita familia ya kwao na ya mume mapema wayajadili kabla hayajaripuka hayo nadhani hata mwanaume angebadilisha msimamo wake
najua kosa la mama yake lakini huyo mtoto unamfanyaje .....?
Dah yani wanawake ni nomaa yani anakucheka kila cku ukimlea mtoto wa dume lake aisee nikjua hafu anakuita beby sheh nzi sanaa
Kitanda hakizai haramu mm labda umpime mtoto umkute sio wako ila ukimkuta wako mahakaman patakuhusu y unidhalilishe kwa kutokujiamin kwako
Wanaume mtakoma
Jaman DNA Shilingi ngapi?,,.