DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

Sometimes unaishi kwa amani kwakua kuna taarifa huzifahamu
Nguvu ya kujua ina madhara yake.
Kuna dingi(simjui) alikuwa anakula single maza muhamiaji pale kijijini kwake,kumbe yule maza ana ngoma.
Dingi amekula weee, maza akaja akakata ringi ghafla.
sasa pale msibani kukawa na maneno ya chinichini kuwa maza alikuwa na chuma.

Amadi!!!maneno hayo dingi akayapata... Dingi kengere ikagonga kichwani.
Lakini kwa wakati huo hakuwa na dalili yoyote ya kuugua wala kukonda.
baada ya mazishi dingi akachukua Nginjo(bike) hadi Zahanati na kwenda kupima. Ooh Dingi ana chuma!!!.
Majibu tu yakamfanya apararaiza hapo hapo.
Aliende Zahanati akiwa na Nguvu za kunyonga baiskeri lakini baada ya majibu vijana wake ndiyo walienda kumkokota toka pale Zahanati, Dingi hawezi tembea tena.
Na haikuchukua wiki kadhaa dingi akakata Moto.
So,uenda dingi asingelijua hali yake angeliishi miaka mingi mingine ila alipojua tu,kosa ndiyo likaanzia hapo.
 
Wafuga vitambi ambao mazoezi hawana wanagongewa,haya wenye mazoezi ambao mda mwingi wanashinda gym nao wanachapiwa,yaani hayanaga formula.

Ila siku tu serikali itakapo rahisisha hili zoezi la DNA,ndoa nyingi zitavunjika.Kwani kizazi cha vijana hawapo tayari kulea bao la mwanaume mwengine.
 
images (8).jpeg
 
Back
Top Bottom