DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

Alikuomba umsaidie, tatizo lenu moja wengi wenu hamstahimili kuambiwa ukweli pindi unapotakiwa kuwajibika.
Sio wote wanaohitaji msaada wana ujasiri wa kuomba msaada, hivyo wanasaidiwa tu.
 
Nguvu ya kujua ina madhara yake.
Kuna dingi(simjui) alikuwa anakula single maza muhamiaji pale kijijini kwake,kumbe yule maza ana ngoma.
Dingi amekula weee, maza akaja akakata ringi ghafla.
sasa pale msibani kukawa na maneno ya chinichini kuwa maza alikuwa na chuma.

Amadi!!!maneno hayo dingi akayapata... Dingi kengere ikagonga kichwani.
Lakini kwa wakati huo hakuwa na dalili yoyote ya kuugua wala kukonda.
baada ya mazishi dingi akachukua Nginjo(bike) hadi Zahanati na kwenda kupima. Ooh Dingi ana chuma!!!.
Majibu tu yakamfanya apararaiza hapo hapo.
Aliende Zahanati akiwa na Nguvu za kunyonga baiskeri lakini baada ya majibu vijana wake ndiyo walienda kumkokota toka pale Zahanati, Dingi hawezi tembea tena.
Na haikuchukua wiki kadhaa dingi akakata Moto.
So,uenda dingi asingelijua hali yake angeliishi miaka mingi mingine ila alipojua tu,kosa ndiyo likaanzia hapo.
QmmmmmmmQe
Hii Dunia nyoko.
Hivi inakuwaje mtu anakwenda kupima UKIMWI ambao hauna dawa?
 
Wengine hata nguvu za kuzalisha hamna, mnasaidiwa kupata watoto na kuheshimishwa halafu bado mnaleta pang'eng'e!!
kwani tuliombwa tusaidiwe?, au tuliombwa tuheshimishwe kwa watoto waliozaliwa nje?, mbon mnajipa ujuaji mwingi wakati hatujakubaliana?, sasa hao watoto wa nje kwanini wadipelekwe kwa baba yao mzazi?, alafu unaniletea mimi niwalee?, dadeq.
 
kwani tuliombwa tusaidiwe?, au tuliombwa tuheshimishwe kwa watoto waliozaliwa nje?, mbon mnajipa ujuaji mwingi wakati hatujakubaliana?, sasa hao watoto wa nje kwanini wadipelekwe kwa baba yao mzazi?, alafu unaniletea mimi niwalee?, dadeq.
Sio wote wanaohitaji msaada wana ujasiri wa kuomba msaada, hivyo wanasaidiwa tu.

Na hapo ndio umeheshimiwa na kuheshimishwa.
 
Sio wote wanaohitaji msaada wana ujasiri wa kuomba msaada, hivyo wanasaidiwa tu.

Na hapo ndio umeheshimiwa na kuheshimishwa.
never na hakuna kitu kama hicho, kama ni watoto wapo wa kuasili , na hawatofautiani na hao wa nje.
 
never na hakuna kitu kama hicho, kama ni watoto wapo wa kuasili , na hawatofautiani na hao wa nje.
Sasa si umerahisishiwa kamchakato. Tayari unao wako ndani tena wako na jina lako. Wewe ni kulea tu.
 
narahisishiwa mchakato kwani nilimwambia au aliniuliza kuwa nahitaji?.
Inatakiwa ushukuru sana maana ni bahati hiyo. Wenzio wanakesha wakilia, wengine wanahangaika kuasili ila wewe baraka imekufuata nyumbani kwako. Bahati iliyoje hii!
 
DNA test allegedly revealed that Nigerian footballer Kayode Olarenwaju is not the biological father of his 3 children with his wife.

a36f2d6adf0b4ae98cea74094157159d



He has now deleted all the pictures of his wife and children on Instagram.
The recent revelation that Nigerian footballer Kayode Olarenwaju is not the biological father of his three children has sent shockwaves through the sports community and beyond. According to reports, a DNA test allegedly confirmed that Kayode, who has been married for several years, is not the biological father of the children he has raised with his wife. This startling news has prompted the footballer to take significant steps in his personal life, including deleting all pictures of his wife and children from his Instagram account.
Kayode Olarenwaju, who has enjoyed a successful career both domestically and internationally, is known for his performances on the field and his presence on social media, where he has shared numerous moments of his family life. The decision to remove these photos suggests a profound sense of betrayal and a need to distance himself from the painful situation. This public display of his personal turmoil has garnered a great deal of attention, with fans and the media closely following the developments.

The impact of this revelation on Kayode's personal and professional life is likely to be substantial. The emotional strain of discovering such a fundamental deception in one's family life can be overwhelming. Trust, once broken in such a manner, is challenging to rebuild. The social media purge indicates a desire to start afresh or at least create some space to process the emotional upheaval.
In the broader context, this incident highlights the often-hidden personal challenges faced by public figures. Athletes like Kayode are frequently in the limelight for their professional achievements, yet their personal lives remain susceptible to the same trials and tribulations as anyone else. This situation also brings to light issues related to trust and fidelity within relationships, particularly those under the public eye.
The fallout from this revelation may have further implications. Kayode's relationship with his wife is undoubtedly under severe strain, and the future of their marriage is uncertain. Moreover, the emotional well-being of the children, who are caught in the middle of this crisis, must be considered. While they may not fully grasp the complexities of the situation, the changes in their family dynamics are likely to affect them profoundly.

As this story unfolds, it will be important for those close to the family, as well as fans and the media, to approach the situation with sensitivity. While the public may be curious about the details, respecting the privacy of all involved is crucial. Kayode Olarenwaju's experience is a stark reminder that behind the fame and success of athletes lie real lives, with real joys and sorrows.

d0b6c05b9d514a13ab74e39d8c70e7fa



View: https://twitter.com/MDNnewss/status/1794422576439238754?t=b63z0GC1YDGy5vxwHIKWfw&s=19
 
Back
Top Bottom