Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Sema wewe dada comments zako inaonekana utakua limwanamke limoja jeuri halafu lidangaji kinomaSasa kiherehere cha kupima DNA alikitoa wapi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wewe dada comments zako inaonekana utakua limwanamke limoja jeuri halafu lidangaji kinomaSasa kiherehere cha kupima DNA alikitoa wapi!!
Eti eeeh 🤣🤣🤣Sema wewe dada comments zako inaonekana utakua limwanamke limoja jeuri halafu lidangaji kinoma
Shida iko wapi!!wewe ulitaka alee mabao ya wengne?
Daaah kwa hiyo ww huoni shida.Shida iko wapi!!
Bottom line is hakuna ambae anataka kuingia ndani kujua yanayoendelea, wana judge juu juu tu ila haya mambo ni mazito mnoMkisikia mtu kauawa msiishie kumlaumu muuaji, tafuteni na sababu ya hayo mauaji.
Ukiona mtu paka anaenda kupima basi anaenda kujiridhisha tu 100% lakini anakuwa tayari 90% kaona red flags. Mimi nilishasema humu hakuna watu waharibifu na usiwaamini kuwakaribisha nyumbani kama Mashekh, sijui ma padre muhimi viongozi wa kiroho hawa wote hawafai( wengi wao 90%) ni watu wa hovyo kabisa wanajificha nyuma ya dini.Sasa kiherehere cha kupima DNA alikitoa wapi!!
Kitanda hakizai haramu.Daaah kwa hiyo ww huoni shida.
Hapo ndipo nakuja kupata jibu kwani wanaharakati na wanawake wa Tennesse US hawaitaki sheria ya Mandatory Partenity test kwa kila mtoto atakaye zaliwa apimwe DNA.Tatizo lenu wabinafsi sana na mnapenda kulalamika "wanaume wote malaya....." ila DNA hamuitaki kwa kuwa mnajiua mnavyo vifanya.
Kama mtu ameamua kuchepuka awajibike kwa mtoto aliye mpata huko nje, kwa kumpatia mahitaji yake ya msingi au amforce huyo aliye mpatia mimba awajibike. Kila mtu awajibike kwa matendo yake na si kupeana misalaba husiyo husika nayo.
Ona sasa ataishi na hasira na majuto ya kujitakia. Yeye angetulia tu alee watoto wake. Ukute hata majibu yamekosewa!Ukiona mtu paka anaenda kupima basi anaenda kujiridhisha tu 100% lakini anakuwa tayari 90% kaona red flags. Mimi nilishasema humu hakuna watu waharibifu na usiwaamini kuwakaribisha nyumbani kama Mashekh, sijui ma padre muhimi viongozi wa kiroho hawa wote hawafai( wengi wao 90%) ni watu wa hovyo kabisa wanajificha nyuma ya dini.
[emoji16][emoji16] Tangu lini computer inakosea ?Ona sasa ataishi na hasira na majuto ya kujitakia. Yeye angetulia tu alee watoto wake. Ukute hata majibu yamekosewa!
Mkubwa mbona kama wanafanana au DNA ya mchongoHuyo mkubwa DNA ikarudie.
Ila hao wadogo iko sahihi
Msemo huo ambao hata huko US wanapotetea haki zenu washaanza kuukata ndio maana wameweka sheria. Wewe kama ukitoa boko pambana na uliyetoa nae boko alee mwanao.Kitanda hakizai haramu.
Mara nyingi tu.[emoji16][emoji16] Tangu lini computer inakosea ?
Wengine hata nguvu za kuzalisha hamna, mnasaidiwa kupata watoto na kuheshimishwa halafu bado mnaleta pang'eng'e!!Msemo huo ambao hata huko US wanapotetea haki zenu washaanza kuukata ndio maana wameweka sheria. Wewe kama ukitoa boko pambana na uliyetoa nae boko alee mwanao.
Alikuomba umsaidie, tatizo lenu moja wengi wenu hamstahimili kuambiwa ukweli pindi unapotakiwa kuwajibika.Wengine hata nguvu za kuzalisha hamna, mnasaidiwa kupata watoto na kuheshimishwa halafu bado mnaleta pang'eng'e!!
Jimbo la Tennesse US washa pitisha sheria hii ya Mandatory Partenity test.Kuna siku nilikuwa nabishana na jamaa mmoja nikawa namwabia hizi serikali zifanye mfumo wa mtoto anapozaliwa kabla hajatoka hospital mpime DNA,hii ingesaidia sana kuliko kuootezeana muda
Usijiroge ukapime DNA hospitali za serikali wao wanavutia upande wa watoto. Lazima wachakachue watoto wawe wako ili walelewe vizuri. Nimeshashuhudia mara mbili. Wafu wanapima Muhimbili wanaambiwa +ve then wanaenda kulinganisha na Saifee au Aga khan unakuta -ve.Wafuga vitambi ambao mazoezi hawana wanagongewa,haya wenye mazoezi ambao mda mwingi wanashinda gym nao wanachapiwa,yaani hayanaga formula.
Ila siku tu serikali itakapo rahisisha hili zoezi la DNA,ndoa nyingi zitavunjika.Kwani kizazi cha vijana hawapo tayari kulea bao la mwanaume mwengine.
DNA hakuna makosa. Nadhani hujanielewa, huyo jamaa mpaka ameamua kwenda kupima ina maana alishakuwa anaishi kwa mashaka na wala asingekuwa na raha kama unavyodhani sababu alitia shaka kitu. Ni bora kajuwa ukweli. Hakuna kitu kibaya kama unaishi na mtu lakini huamini anachofanya. Ataishi vizuri tu atapata mke na atazaa wanae wa damu ndio amani ataipata huko.Ona sasa ataishi na hasira na majuto ya kujitakia. Yeye angetulia tu alee watoto wake. Ukute hata majibu yamekosewa!