DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

jamaa kabla hajapima DNA alitakiwa apime uwezo wake wa kuzaa kwanza, isijekuwa yeye hazai kabisa na hapo mwanamke alimfichia siri ili wasiachane.
 
Hii inshu ya mwanamke kuleta mimba za nje ndani ya ndoa inakata sana mzuka wa kuoa
Tatizo ya kuoa miyanamike umeikuta barabarani ndio hayo.

Warabu wanamsemo ukitaka kuoa chunguza mjomba wa huyo mwanamke kwanza, au wajomba zake ukiona wanatabia nzuri basi hata mama wa huyo mtoto atakuwa na tabia nzuri na bint yake atakuwa anatabia nzuri.

Wengine wakiona sura nzuri na mwili mzuri basi wanajisifu wamepata mke hawachunguzi mingine.
 
jamaa kabla hajapima DNA alitakiwa apime uwezo wake wa kuzaa kwanza, isijekuwa yeye hazai kabisa na hapo mwanamke alimfichia siri ili wasiachane.
Huo ni ujinga anilitee mitoto ya haramu nilee, si bora nikalishe masikini.

Yani jitu litembee na mke wako eti sababu huna kizazi?
 
inauma wazee ukitegemea kuna watoto walishakuzoea,ulishawazoea ukawaandika ndio warithi wako

leo hiii unaambiwa sio mwanao acheni hii kitu
 
Ukiwa na mwanamke, mara pastor kasema hivi, pastor kasema vile.
Jua dadii kakamata ufahamu na akili zake.
Hata unyumba utaupata kwa ruhusa ya dadii.
 
Inatakiwa ushukuru sana maana ni bahati hiyo. Wenzio wanakesha wakilia, wengine wanahangaika kuasili ila wewe baraka imekufuata nyumbani kwako. Bahati iliyoje hii!
wewe nahisi unaumwa mkuu.
Naomba nikupeleke hospitali kuchukua vipimo.
 
Mwanaume kama mtoto siyo wako unajua tu,sema wengine wanaamua kupiga kimya tu,lakini moyoni mwao ukweli wanao! Mtoto hata ukiletewa akiwa mkubwa utamjua tu hata kama hukumlea!!
 
Mwanaume kama mtoto siyo wako unajua tu,sema wengine wanaamua kupiga kimya tu,lakini moyoni mwao ukweli wanao! Mtoto hata ukiletewa akiwa mkubwa utamjua tu hata kama hukumlea!!
Ni kweli ila wanawake wana siri nyingi sana ni rahisi kumgundua mwanamme aki cheat kuliko mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…