Do Arabs/Muslim nations know Israel is the chosen nation of God?

Do Arabs/Muslim nations know Israel is the chosen nation of God?

Wanawachukia wale wazayuni sababu wale sio halisi. Halisi wenyewe watakuja baadae kwenye ardhi yao wale ni wavamizi tu
Ebu mkuu weka vizuri ,wayahudi halisi n wapi!! Kama wapo wayahudi halisi tofauti na wale wapo wapi ,nchi gan ??
 
Hakuna taifa teule hapa duniani, huo ni ujinga wa kutojua historia. Israeli ya leo ni taifa sawa na Burundi au Gambia au Somalia na ina umri wa miaka 68. Mungu haukumba mataifa ila aliumba binadamu wote sawa mbele yake. Ukosefu wa maarifa ni dhambi mbaya sana.
Mkuu, punguza mkali kidogo
Ni kweli kua Israel n taifa kama mataifa mengine,
Lakin Israel chanzo chake alikua n mtumishi wa Mungu aliyeitwa Yakobo Kafka yakobo ndipo yalitoka makabila12 ya Israel ....hapo ndipo Israel ilitokea...na mungu aliwachagua kutokana na babu yao mtumishi wake
 
Do Muslim or Arab nations( majority are Muslims) know that Israel is the chosen Nation of God? Do they?
If they do why hating or standing against Israel?? Are they against Almighty God?
If they don't know , but they believe in Abraham who gave rise of Isak then Yakob then Israel ,and Jesus came from the that flow !!....if they don't recognise Jesus nor Israel !! Why they believe in Abraham!!?...anyway that is not a point of focus!!
My question is do they know that God choose only Israel over all nation of these planet?
Vp kuhusu kulaaniwa mkuu?

Walichaguliwa kuwa taifa bora kbsa lakini upendo wa Mungu uliwapa kibri wakaasi ndipo wakapewa laana nadhani hapo chaguo lilishaisha tayari
 
Ingekuwa ni "Gods' choosen" asingemuachia Fuhrer Adolf Hitler awakaange million sita
 
d2ec10cc43e7aff547a2173059276706.jpg
Exodus 22:20 "He that sacrificeth unto any god, save unto the LORD only, he shall be utterly destroyed." KJV inasema hivyo
 
Israel is cursed nation - because of their sins and against God they were promised not live difficult life till the end of the world when Jesus will return ( by the way Jews curse Jesus )
 
Israel is cursed nation - because of their sins and against God they were promised not live difficult life till the end of the world when Jesus will return ( by the way Jews curse Jesus )
Reference plz
 
I wonder why waafrika ni inferior race duniani kama kuna watu wana-hold hii mitazamo ya kibaradhuli.
Tunaongelea maandiko cyo race!! Hapo hamna sehem yenye uhusiano n race
 
Israel is cursed nation - because of their sins and against God they were promised not live difficult life till the end of the world when Jesus will return ( by the way Jews curse Jesus )


Cc. Ras Simba
 
Aya 135-138: Na Wakasema: Kuweni Mayahudi Au Manaswara
Maana
Nawakasema:Kuweni MayahudiauWakristomtaongoka.
Dhamiri katika “wakasema” inawarudia watu wa Kitabu; maana yake walisema Mayahudi kuweni Mayahudi mtaongoka kwa sababu uongofu, wanavyodai wao, unatokana na wao tu peke yao. Na Wakristo nao walisema hivyo hivyo.
Mwenyezi Mungu anamwambia Mtume wake Mtukufu Muhammad (s.a.w.): “Sema bali (tunashika) mila ya Ibrahim.” Yaani hatuwafuati Mayahudi wala Wakristo, bali tunafuata mila ya Ibrahim. Tumeyataja yanayoelekeana na haya katika Aya ya 111-113 ya sura hii .
Mjadala Wa Kimantiki
Huenda mtu akasema: Mayahudi wamedai kuwa na haki, Wakristo nao wakadai kuwa na haki, na Muhammad (s.a.w.) naye aka-sema bali Ibrahim ndiye mwenye haki sio Mayahudi wala Wakristo; na kauli zote hizi ni madai. Sasa basi ikiwa itafaa kwa Mayahudi na Wakristo kutumia mantiki haya yasiyofaa, basi itakua haifai kuyafa-nanisha kwa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake; Je, kuna njia gani?
Jibu: Makusudio ya: “Bali (tunashika) mila ya Ibrahim” ni kuyabatilisha madai ya Mayahudi na kuwanyamazisha, na wala sio kuthibitisha uhakika hasa. Inawezekana mtu kuipinga hoja ya mtesi wake kwa kitu ambacho sio hoja yake bali ni hoja iliyo mfano wake; kama vile kuyavunja madai ya Wakristo kwa Adamu ambaye hana baba; pale waliposema kwamba Masih ni Mungu, kwa sababu hana baba. Na Adam naye hana baba, lakini hawamwiti Mungu. Aina hii ndiyo inayoitwa ‘mjadala wa kimantiki.’ Kwa hiyo njia ya kuwanyamazisha Mayahudi na Wakristo ambayo tunayo ni:-
Mayahudi na Wakristo wanahitalifiana kidini na kiitikadi. Kila kundi linalikufurisha kundi jingine, lakini wakati huo huo wanaafikiana juu ya usahihi wa dini ya Ibrahim. Kwa dhahiri kabisa ni kwamba Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo bali aliacha dini za upotefu akashikamana na dini ya haki na hakuwa katika washirikina. Hakuwa Yahudi kwa vile hakusema kuwa Uzayr ni mtoto wa Mungu, wala hakumfananisha Mwenyezi Mungu; kama walivyodai kwamba Mwenyezi Mungu ni mzee mmoja mwenye mvi za kichwani na kidevuni. Vile vile Ibrahim hakuwa Mkristo kwa sababu hakusema Masih ni mtoto wa Mungu kwa vile hilo ni shirk.
Maadam Mayahudi na Wakristo wanaikubali dini ya Ibrahim, basi inawalazimu wawe ni wenye kumpwekesha Mwenyezi Mungu, bali pia wanalazimika wahiji Al-Ka’aba tukufu; kama alivyokuwa Ibrahim akiitakidi na kufanya, na kama alivyoitakidi Muhammad na kufanya; na wao hawakumpwekesha Mwenyezi Mungu wala hawakuhiji. Kwa hiyo wao ni waongo; na Muhammad ni mkweli na mwaminifu juu ya dini ya Mwenyezi Mungu na mila ya Ibrahim.
Kwa maneno mengine ni kwamba kushikamana na lile lililoafiki ambalo ni dini ya Tawhid aliyokuwa nayo Ibrahim na aliyonayo Muhammad hivi sasa, ni bora kuliko kuchukua lile lenye hitilafu ambalo ni Uyahudi na kumfananisha kwake Mwenyezi Mungu Mtukufu, na Ukristo na utatu wake.
Semeni:Tumemwamini Mwenyezi Mungu.Yaani semeni enyi Waislamu.Nayaletuliyoteremshiwaambayo ni Qur’an.
NayaleyaliyoteremshwakwaIbrahimnazo ni sahifa za Ibrahim; Inasemekana zilikuwa kumi.
NaIsmailnaIs-hak.
Hao ni watoto wa Ibrahim. Ismail ndiye mkubwa kuliko Is-hak; mama yake ni Hajar na mama wa Is-hak ni Sara.
Yaqub ni mtoto wa Is-hak. Hao wote hawakuteremshiwa sahifa, isipokuwa ziliteremshwa kwa Ibrahim, lakini inafaa kusema kuwa zimeteremshiwa wote kwa kuangalia kwamba wao walikuwa wakiabudu na kulingania kutokana na sahifa hizi; sawa na vile inavyofaa, kwa sisi Waislamu kusema: tumeteremshiwa Qur’an, kwa vile tunaamini na kufanya amali kutokana nayo na tunailingania.
NaWajukuu.
Hao ni wajukuu wa Yaqub kutokana na watoto wake kumi na wawili; Ni kama makabila ya Kiarabu katika uzao wa Ismail. Katika kizazi hicho kuna mitume wengi; kama vile Daud, Suleiman, Yahya, Zakariya. Vile vile waumini wengine ambao walifanya ibada kutokana na sahifa za Ibrahim (a.s.).
NawaliyopewaMusanaIsa
Ni Taurat na Injil na pia wengine waliyopewa Manabii. Kama Zaburi aliyoteremshiwa Daud.
Hatutofautishibainayayeyotekatikahao.
Yaani tunawaamini wote, wawe na kitabu au la. Sisi sio kama Mayahudi na Wakristo ambao wanaamini baadhi na kukanusha baadhi, bali wote kwetu ni sawa katika kuukubali utume wao. Kimsingi ni kwamba kuwaamini wote ni wajibu kwa njia ya ujumla, na wala hatukukalifishwa kuwajua kwa upambanuzi ila baada ya ubainifu kutoka katika Qur’an, au Hadith.
Basiwakiaminikamamnavyoamininyinyiitakuwakweliwameongoka.
Yaani wakiamini imani sahihi ambayo ni Tawhid yenye kutakata na aina yoyote ya shirk, na pia wakiwakubali Mitume wote akiwemo Muhammad; kama vile wanavyofanya Waislamu kwa Mitume wote bila ya kuwabagua wengine, wakifanya hivyo, basi watakuwa wameongoka. Wala maksudio sio kuwa waamini dini mfano wa dini ya Kiislam. Kwa sababu Uislamu hauna cha kufananisha.
Nawakikengeukabasiwaowamokatikaupinzanitu.
Yaani kila anayeipinga haki anakuwa amejitoa kundini na kujitofautisha.
BasiMwenyezi Munguatakutoshea
Kwani vitimbi viovu vinawapata wenyewe. Kwa ufupi ni kwamba Uislamu unakataa ubaguzi, unatoa mwito wa kusaidiana kwa misingi ya kheri na uadilifu, unaikubali haki popote ilipo na unawataka wafuasi wake wafungue nyoyo kwa watu wote kwa mapenzi na Ikhlasi.
Huuni)upakajirangiwaMwenyezi Mungu.
Ni dini ya haki ambayo inautwaharisha moyo na akili kutokana na uchafu; na wala sio kuzama katika maji, (ya kubatiza) kama wanavyofanya Wakristo.
Muhyiddin Ibnul-Arabi katika tafsir yake anasema: “Hakika kila mwenye madhehebu na itikadi anapambika na itikadi yake, dini na madhehebu yake. Wenye kuabudu kutokana na mila wanapambika na pambo la kiongozi wao. Na wenye kumpwekesha Mwenyezi Mungu wanapambika na pambo la Mwenyezi Mungu ambalo hakuna pambo zuri zaidi ya hilo na wala hakuna jengine baada yake!”
قُلْ أَتُحَاجُّونَنَا فِي اللَّهِ وَهُوَ رَبُّنَا وَرَبُّكُمْ وَلَنَا أَعْمَالُنَا وَلَكُمْ أَعْمَالُكُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُخْلِصُونَ }139{
Sema:JemnahojiananasijuuyaMwenyeziMungu?NahaliyeyeniMolawetunaMolawenu?Nasisitunavitendovyetu,nanyimnavitendovyenu;nasisitunamfanyiaIkhlasyeye.
أَمْ تَقُولُونَ إِنَّ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطَ كَانُوا هُودًا أَوْ نَصَارَىٰ ۗ قُلْ أَأَنْتُمْ أَعْلَمُ أَمِ اللَّهُ ۗ وَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّنْ كَتَمَ شَهَادَةً عِنْدَهُ مِنَ اللَّهِ ۗ وَمَا اللَّهُ بِغَافِلٍ عَمَّا تَعْمَلُونَ }140{
AuMnasemakuwaIbrahimna Ismail na Is-haq na Yaqub na wajukuu (zake) walikuwaMayahudiauManaswara? Sema: Je, nyinyi mnajua zaidi au Mwenyezi Mungu? Na ni nani dhalimu mkubwa kuliko yule afichaye ushaidi alio nao utokao kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na hayomnayoyafanya.
تِلْكَ أُمَّةٌ قَدْ خَلَتْ ۖ لَهَا مَا كَسَبَتْ وَلَكُمْ مَا كَسَبْتُمْ ۖ وَلَا تُسْأَلُونَ عَمَّا كَانُوا يَعْمَلُونَ }141{
Huo niummauliokwishapita.Utapata uliyoyachumananyimtapatamliyoyachumawalahamtaulizwawaliyokuwawakifanya.
 
Hakuna namna ambavyo Israel itaondolewa katika ardhi yake maana ni agano walilopewa, hivyo yote yanatokea kutimiza kile ambacho Mungu alikisema juu yao, na maandiko yanasema Israel itapandwa tena kwenye nchi yake wala haitang'olewa mahali pake, Nchi ya Israel kinabii ilipandwa mwaka 1948.

Amosi 9:14-15
"Nami nitawarejeza tena watu wangu Israeli waliohamishwa, nao wataijenga miji iliyoachwa maganjo, na kukaa ndani yake; nao watapanda mizabibu katika mashamba, na kunywa divai yake; nao watafanyiza bustani, na kula matunda yake, nami nitawapanda katika nchi yao, wala hawatang'olewa tena watoke katika nchi yao niliyowapa, asema BWANA, Mungu wako."

Asomaye na afahamu neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.

By Robert Mugabe
 
Back
Top Bottom