Hamtafahamu kamwe kwa usahihi tabia ya Mungu Kwa kutumia elimu dunia!! Bhasi pia jiulize kwanini aliifungua njia kwenye red sea waisrael waliokuwa wamechanganyikana na baadhi ya wamisri wakapita salama ila majeshi ya Farao yakafia humo baharini. Kwahyo kwasababu hiyo tuseme Bwana alikuwa mmbaguzi? Halafu pia huyo huyo Bwana aliwaacha israel waende utumwani Misri kwa miaka 400? JE kwasababu hiyo tuseme kuwa Bwana ni Katili? LA HASHA mambo ya Mungu hayawezi kudadavuliwa vyema na wale wanaojiita Great thinkers eti kisa wana elimu ya cheti, diploma, degree. Masters degree, phd etc isipokuwa ukitaka kufahamu jambo la kiroho bhasi jiweke Kiroho zaidi utalifahamu tu. ISRAEL IS THE ELECT NATION NO MATTER WHAT, THOUGH BEING ELECT NATION DOES NOT MEANS THAT YOU ARE NOT SINFUL AT ALL.