Do Arabs/Muslim nations know Israel is the chosen nation of God?

Hivi wewe unaamini Israel ya leo ndiyo inayotajwa kwenye biblia? Je unatambua kuwa wayahudi hawamtambui Yesu km Masihi ila wanamuona km mtu wa kawaida tu? Je yale yanayofanywa na Israel pale Middle East ni mpango wa Mungu
 
Usomage kuanzia mwanzo wa bible na uilewe... bible na quran sio gazeti la sani... unatohoa kitu unakipest... utakufa: ingawaje haupo mbaali na ukweli. Ila uwe unaprove kwa kurise strong fact
Hii kitu usipotoshe watu. Waislam huwa mnapenda upotoshaji.
Hiyo quote ni kama ifuatavyo. Usipende kumchukua robo mstari ili upotoshe watu
 

Attachments

  • Screenshot_2017-01-25-00-55-26.png
    46.3 KB · Views: 56



 

 
 
Dah.....yaani hii mada inarudiwarudiwa tu kwa namna tofauti tofauti ingawa kitu kingine, nani alikwambia kwamba Waisrael ni wateule....??
 
Israel ni taifa teule dhidi ya waarabu tu. kwanza ni ndg lakini linapokuja kwa wazungu wanakaa chini mwisrael anaajiriwa kama alivyo Mchina.
pia sisi waafrica hatuhusiki na uteule wao nasi tunatakiwa tuongee nao tuwaajiri watupe teknolojia yao.
kuhusu dini mi naona ni divai iliyowalewesha wengi. Muslims and Christians.
 
Asiekuwa na akili timamu ni yule anaeamini Mungu anaupendeleo kwa kabila fulani, asiekuwa na akili timamu ni yule ambae anaamini Israel ni taifa la mungu na kuwa mungu anavolipenda sana taifa lake akaliangamiza.
 
Hapo umemaliza!

Muhammad Pbh alikuja na Quran

Issa wa Mariam alikuja na nijulishe

Mussa alikuja na Torat.

Waislam wanamfuata Muhammad

Wakristu wanamfuata Yesu

Je wajua/wafikiri Jews wao wako dedicated kwa nani?

Kukusaidia tu jibu ni kwamba ni Mtume MUSSA aliye wavusha Sham.
 
Yesu hakuja na ukristo
 
Ungefuatilia vizuri historian ya Israel Na wa Palestine Ndo ungeelewa vzuri Nani alieanza kumchukia mwenzie.Uwepo wa Israel middle East hauhusiani kabisa Na dini zile ni siasa.ka Google kitu kinaitwa AL nakba Ndo utaona Nani ni mzuri Na mbaya kati ya hao Na utaona kuwa ishu sio mungu Bali ni siasa za marekani
 
Dah.....yaani hii mada inarudiwarudiwa tu kwa namna tofauti tofauti ingawa kitu kingine, nani alikwambia kwamba Waisrael ni wateule....??
Mbona unakasirika sana kusikia hivo!!!....,Handle the bare truth you will have peace in your heart !! Si unajua Ukweli unaishi!!/....lakin hapo hapo ungeambiwa ukoo wenu n teule ungeamin
 
We jamaa umenifurahisha!! Tukionana unikumbushe zawad yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…