Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
- Thread starter
- #21
Kwa hio unamaanisha usipoishi na mama wa mtoto wako basi mtoto anaharibikiwa? Huna akiliUtazaa watoto kama umbwa?huyu na mama yake yule na mama yake utaweza vipi kuwa-manage kimalezi kama hauishi na mama zao?
Kutoa manii na kulea mtoto ktk njia sahihi itakayomsaidia baadae ni vitu viwili tofauti,maisha siyo simple kiasi hiko na ni rika tu linakusumbua kuna wakati utafika utajiona mjinga kuwaza hivi,unapoona vitu ktk jicho jepesi kama hivi elewa kuna siku mtoto utakaemzaa atabikiriwa na bwana wa mwanamke uliyemzaa kwa sababu alikuwa karibu yake kuliko wewe mwenye mbegu yako.
Kingine, kuwa na hela na uwezo wa kutosha, mtoto unapewa ulee wewe mapema tu. Nikisema uwezo namaanisha uwe mwanaume kweli sio mwanaune suruali wale wanaosema eti wanaoa ili wasaidiane kiuchumi na wake zao. Hivi unamjua mama wa mtoto wa kwanza wa ronaldo? Stop justifying your weaknesses, fight them.
Mwanamke niliozaa nae anajua haiba yangu vyema sishindwi kumnyang'anya watoto anytime. Anakaa kwenye nyumba nilojenga mm, full cctv, maasai nje. Yeye hata akitombwa huko sina shida, ila watoto wangu wako safe, na anajua akizingua anatolewa. Be powerful as a man.
Sasa kama umezaa na mwanamke lkn hao watoto wanakaa kwa mwanaume mwenzako hapo ndipo shida unazoziongelea zinakuja. Kwanza kama mtoto wako anakaa kwa mwanaume mwenzio wewe bado mvulana tu umewahi kukojolea K, huwezi kuitwa baba