Do you feel LOVED?

Do you feel LOVED?

Mh!...Kazi kwelikweli, hapa ndio utaelewa utamu wa real love na uchungu wa forced love. Ila kwa nini ung'ang'anie usipopendwa jamani, mwishowe uwekewe sumu bure...........Naona nisiseme sana hapa, ila hii mada nimeipenda sana. Big up sana kwa dada yetu mtoa mada maana hata sisi tusiokuwa kata tumejua kinachoendelea ndani ya mtungi.
 
You have failed to deriver the message,though it's rich in content,but code mixing has made it nonsense.
 
You have failed to deriver the message,though it's rich in content,but code mixing has made it nonsense.

Moller I appreciate your criticism. I will however appreciate more if you elaborate further, and understand more what you mean by code mixing thus making the ujumbe nonsense.
 
Moller I appreciate your criticism. I will however appreciate more if you elaborate further, and understand more what you mean by code mixing thus making the ujumbe nonsense.

mydear code mixing ni kuchanganya lugha yaan kiswahili na kingereza kwa wakati mmoja,,...ivyo "Moller" amesisitiza kua uchanganyaji wa lugha umefanya ujumbe kutoeleweka vizuri kwa hadhira yaan jamii iliyokusudiwa,,...haswa kwa sisi tuloishia darasa la 4,,..lakini yote kwa yote hongera sana umejitahidi kufafanua,,...!!
 
Nashukuru kwa ufafanuzi na kwa acknowledgement pia. Pamoja Saana.
 
Nimesoma heading nikaangalia date bila kuingia kwenye content; nikawaza, je waliofeel loved two years ago do they still feel the same? Na ambao didnt feel loved back then, are they holding the same feeling?
Naamini mambo yamebadilika, and l am happy for those who things changed for the better.
 
Asha D,umemaliza kila kitu,mm mwanaume nakubali yote kama kaka kiiza,that is fantastic reaserch and now u report the al data,thnx make me change
 
Usishangae nimei-like leo
it makes more sense leo, awali sikuielewa.
 
Nimesoma heading nikaangalia date bila kuingia kwenye content; nikawaza, je waliofeel loved two years ago do they still feel the same? Na ambao didnt feel loved back then, are they holding the same feeling?
Naamini mambo yamebadilika, and l am happy for those who things changed for the better.

Umeuliza suala la msingi sana... Mapenzi hayatabiriki... Sasa I know for a fact; unaweza niuliza hili swali, nikajisikia loved leo then after a week 'sina hakika' then after a da yes... Lol. Kazi kweli yani. Mahusiano ni kazi kubwa sana.
 
Umenikumbusha mbali sana mtoa mada.
Niliwahi kuwa na mahusiano for 5yrs lkn sikuwah kutambulisha kwa ndugu zaidi ya friends wachache,simu nipige mm nikipigiwa basi siku hiyo anataka sex,kwake sijawahi kwenda mchana ni usiku tena kwa masaa machache maana inaweza kuchukua hata miezi mi3 kuchuniwa kama nikiforce na naweza kupigiwa cm nikaenda hlf akaniambia ngoja alale so nakaa mwenyewe mpk naamua kuondoka, cha ajabu kumuacha nilikuwa siwezi mpk siku nilivyoamua nilikuwa nimeshateseka sana but nahisi zile zilikuwa akili na mapenzi ya kitoto, na nilijifunza mengi sana too bad baada ya kuachana akaona umuhimu wangu na ndio simpendi tena hata chembe maana nakaribia kuolewa na mtu anaenipenda kwa dhati na mwaka wa tatu still ananibembeleza nimrudie kwa ahadi kemkem.
 
umeuliza suala la msingi sana... Mapenzi hayatabiriki... Sasa i know for a fact; unaweza niuliza hili swali, nikajisikia loved leo then after a week 'sina hakika' then after a da yes... Lol. Kazi kweli yani. Mahusiano ni kazi kubwa sana.

mimesoma thread yote na michango yote ya watu!

Mimi sijui why watu mnapenda kujipa stress na hii game ya mapenzi!

Its just a game u know, cha msingi ukipenda mtu acha kujiuliza kama yeye anakupenda ama la!, ilimradi anapendeka wewe mpende tu.

Pia it depends, kama uko kwenye mapenzi kwa ajili ya ndoa, basi hiyo ni sihu nyingine ambayo siwezi elezea maana mimi sikuolewa sababu ya mapenzi nilikua naangalia maisha na kujenga mji wangu.

Cha msingi muwe mnaelewana na kuenjoy each others company not neccessarily eti muwe both in love, love is ends and its not enough to make any marriage work.

Na nyie mnaopendwa jaribuni kupendeka, mie napendeka ninapopendwa na pia nikipenda basi either nitapuuzia na sio eti nianze kujiuliza kama ananipenda ama la!

Pia i dont give it all 100% kwa maana nyingine isifike mahala nikaburuzwa kama tambala la chooni.(i love my self too much so napenda kimachalemachale)

i also give enough love to myself, najipa gud time yaani sio hadi ningoje eti mtu anitoe out. Najitoa out mwenyewe na mashost zangu kujipa raha!

kuhusu wivu, nadhani mapenzi bila wivu kwanza hayapo.

pia unaweza kumuonea wivu mtu amabaye hata umpendi kabisaaaaaa so sometimes wivu ni ile feeling tu fulani ni wako tu na sio wa mwingine hata kama humpendi, hutaki tu kumuona na mwingine(possession maybe)
 
umenikumbusha mbali sana mtoa mada.
Niliwahi kuwa na mahusiano for 5yrs lkn sikuwah kutambulisha kwa ndugu zaidi ya friends wachache,simu nipige mm nikipigiwa basi siku hiyo anataka sex,kwake sijawahi kwenda mchana ni usiku tena kwa masaa machache maana inaweza kuchukua hata miezi mi3 kuchuniwa kama nikiforce na naweza kupigiwa cm nikaenda hlf akaniambia ngoja alale so nakaa mwenyewe mpk naamua kuondoka, cha ajabu kumuacha nilikuwa siwezi mpk siku nilivyoamua nilikuwa nimeshateseka sana but nahisi zile zilikuwa akili na mapenzi ya kitoto, na nilijifunza mengi sana too bad baada ya kuachana akaona umuhimu wangu na ndio simpendi tena hata chembe maana nakaribia kuolewa na mtu anaenipenda kwa dhati na mwaka wa tatu still ananibembeleza nimrudie kwa ahadi kemkem.

ur were not in love, u were just desperate for marriage, na ndio maana uliachana nae baada ya kupata mchumba.

Kwahiyo, usingepata mtu mwingine mpaka leo ungeendelea kujishikiza hapo.
 
Hapana Ayanda niliachana nae long time kabla hata sijapata mchumba baada ya kuona si mtu sahihi kwangu na alitaka turudiane kabla hata sijampata nilie nae na kwa wakati huo sikuwa nimewaza kuhusu ndoa maana nilikuwa bado binti mdogo now nimekua vya kutosha kuwa na familia yangu thats why nimekubali hata kuolewa.
 
hapana ayanda niliachana nae long time kabla hata sijapata mchumba baada ya kuona si mtu sahihi kwangu na alitaka turudiane kabla hata sijampata nilie nae na kwa wakati huo sikuwa nimewaza kuhusu ndoa maana nilikuwa bado binti mdogo now nimekua vya kutosha kuwa na familia yangu thats why nimekubali hata kuolewa.

ok then, haukuwa in love bali utoto ulikua unakusumbua
 
umeuliza suala la msingi sana... Mapenzi hayatabiriki... Sasa i know for a fact; unaweza niuliza hili swali, nikajisikia loved leo then after a week 'sina hakika' then after a da yes... Lol. Kazi kweli yani. Mahusiano ni kazi kubwa sana.

mahusiano sio kazi kubwa wala nini, its just a game!

How i love playing it
 
Back
Top Bottom