umeuliza suala la msingi sana... Mapenzi hayatabiriki... Sasa i know for a fact; unaweza niuliza hili swali, nikajisikia loved leo then after a week 'sina hakika' then after a da yes... Lol. Kazi kweli yani. Mahusiano ni kazi kubwa sana.
mimesoma thread yote na michango yote ya watu!
Mimi sijui why watu mnapenda kujipa stress na hii game ya mapenzi!
Its just a game u know, cha msingi ukipenda mtu acha kujiuliza kama yeye anakupenda ama la!, ilimradi anapendeka wewe mpende tu.
Pia it depends, kama uko kwenye mapenzi kwa ajili ya ndoa, basi hiyo ni sihu nyingine ambayo siwezi elezea maana mimi sikuolewa sababu ya mapenzi nilikua naangalia maisha na kujenga mji wangu.
Cha msingi muwe mnaelewana na kuenjoy each others company not neccessarily eti muwe both in love, love is ends and its
not enough to make any marriage work.
Na nyie mnaopendwa jaribuni kupendeka, mie napendeka ninapopendwa na pia nikipenda basi either nitapuuzia na sio eti nianze kujiuliza kama ananipenda ama la!
Pia i dont give it all 100% kwa maana nyingine isifike mahala nikaburuzwa kama tambala la chooni.(i love my self too much so napenda kimachalemachale)
i also give enough love to myself, najipa gud time yaani sio hadi ningoje eti mtu anitoe out. Najitoa out mwenyewe na mashost zangu kujipa raha!
kuhusu wivu, nadhani mapenzi bila wivu kwanza hayapo.
pia unaweza kumuonea wivu mtu amabaye hata umpendi kabisaaaaaa so sometimes wivu ni ile feeling tu fulani ni wako tu na sio wa mwingine hata kama humpendi, hutaki tu kumuona na mwingine(possession maybe)