Doctor kakimbia mji baada ya kunusurika kuuawa na aliyekuwa mke wake

kuna binadamu nyie,huyo mwanamke ni hatari ni nyoka haswa.Na huyo ashazoea kuua wala haoni shida
Funzo wa wanaume na wanawake,usijichanganye kuingia kwenye mahusiano hivihivi kuna watu hawaachiki
Ana roho ngumu na ujasiri wa ajabu mno,
Nawaza TU mwanamke wa Hivi angepata madarakani makubwa Kama ya uraisi nchi ingekuaje[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Attachments

  • 97d00a804b4852f1650122fe06c161c8.mp4
    4.8 MB
Nipe mamba ya huyo nesi, nataka nimuoe. Huyo atakua hajapigwa mjegejo vizuri ndio maana anakua katili hivyo
Ntampakia mundende mwezi mzima, hakuna rangi ataacha kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…