Doctor kakimbia mji baada ya kunusurika kuuawa na aliyekuwa mke wake

DeePond, kwa kweli hii story ni tamu sana whether it's true event or not, imenifanya nidindishe sana kisha ikanifanya niwe na hasira sana juu ya jamaa kupewa mitego ya kimapenI na kisha kuwekwa katika hali ya hatari.

Sasa kwa umahiri wako wa kiuandishi hebu tutengenezee story inayotuonyesha jamaa yupo dar kajipanga na anaenda kulipa kisasi huko arusha. Naamini unaweza. Hii itakuwa Part 2.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni true story
Ni ya mwanajf mwenzetu
Suala la party 2 sidhan Kama litawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina ikumbusha series za matukio ya kweli [BEHIND THE MANSION WALLS]

Kwa hakika huyo mwanamke ALIMUUA PIA MUMEWE WA AWALI ukikumbuka Naye alikufa kwa KISUKARI the same illness kama iliyomuua binti wa watu na ujauzito wake.....

HIYO ILITAKIWA APATIKANE INVESTIGAVE JOURNALIST iwe Documented na IRUSHWE KWENYE MITANDAO ikiwa detailed......

Bado kuna WINGU ZITO SANA LA RUSHWA kwenye VYOMBO vyetu vya ULINZI NA USALAMA.... kinachosikitisha siyo chombo kimoja kinachoshutumiwa LAKINI NI BEYOND THAT....

Nakumbuka STORY nyingine iliyotupiwa humu JF kuhusu kesi Flan HUKO WILAYA MOJA YA MKOA WA MARA na VYOMBO vinavyotuhumiwa...... inasikitisha sana wale wanaolipwa kwa kodi zetu wanageka [baadhi] MAJAMBAZI NA MAHARAMIA ambayo wapo kwa ajili ya wale wataojaza POCHI ZAO.....😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

TUNAELELEA WAPI KAMA NCHI???? VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA JAMANI TEKELEZENI VIAPO VYENU......


Leo Mchana kweupe na hadhari unaweza kutolewa sadaka na watu wakafunika biashara ikaishia hapo....


SO SAD.........
 
Sahii kabisa,
Vyombo vyetu Unaweza jikuta badala ya kukulinda vinakuteketeza,kuishi kwa machale ni muhimu Sana Zama hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story nzuri kweli.

My take:
1.Kwa tabia za huyo nesi, kuna uwezekano hata hicho "kisukari" kilichomuua mume wake wa kwanza ni kisukari feki, ukute pia alihusika kumuua kwa hizo insulin.
2.Kwa tabia za nesi pia, sio rahisi kwamba alizianza kipindi yuko na huyo jamaa tuu, kuna uwezekano mkubwa kuwa alikua na tabia hizo za ubabe, wivu uliopitiliza na uzandiki hata kwa mume wake wa kwanza. Je, inakuaje rafiki wa huyo jamaa ambae nae alikua anafanya kazi hospitali hapo hapo anapofanyia kazi nesi hakujua hili na kama angejua means angemuonya jamaa yake since day 1 amekuja kumuomba ushauri kuhusu 'mitego' ya nesi, angemwambia usijaribu na hama hapo upesi sana..! Ni ngumu kuwa hizo tabia za huyo nesi kwamba ni mpya na hazikwepo kwenye ndoa yake ya kwanza.
3.Hili ni swali: Je, huyo nesi ni "Mpalestina" kwa kabila?
Asante sana kwa story nzuri.
 
Tunaendelea kuwakumbusha wanaume na vijana wa kiume "Mahusiano ya kimapenzi na single mothers hayafai" au mahusiano na mume au mke ambaye tayari amezaa na mwingine kisha wakatengana hayafai. Mwenye akili na aelewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…