Doctors per 10,000 people in East Africa.

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
Nilipopost uzi wa GDP humu, wabongo wengi walilalamika kuwa GDP sio njia mwafaka ya kupima uchumu wa nchi na kwamba kuna uwezekano kua Tanzania inazalisha mali kuliko Kenya ila mali hiyo haijanukuliwa kwenye GDP. Wenzangu Wakenya walijaribu kuwaelezea kuwa mali isiyonukuliwa kwenye uchumi wa Kenya na Tanzania haiwezi leta tofauti kubwa kwa final figures za GDP lakini wapi. Basi nimeona ni vyema nipost indices zingine zinazoguzia vyema ubora wa maisha kati ya nchi za Afrika mashariki ili tupate picha mwafaka. Leo naanza na afya na hii hapa ni orodha ya nchi za Afrika Mashariki na namba ya madaktari kwa watu elfu kumi.

Kulingana na world bank, mambo ndio haya:-
1. Kenya - 2 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
2. Uganda - 0.9 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
3. Rwanda - 0.6 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
4. Burundi - 0.3 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
5. Tanzania - 0.2 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data

The best country has 10 times as many Physicians as the worst country.
 
Tanzanian tu stop breeding hata waziri wa fedha alisema uchumi wetu unakuwa kwa kasi lakin tunazaliana sana mbaka ile kasi ya uchumi haionekani
 
Tanzanian tu stop breeding hata waziri wa fedha alisema uchumi wetu unakuwa kwa kasi lakin tunazaliana sana mbaka ile kasi ya uchumi haionekani
Just proliferate and fill that landmass.Yohanna said so. Now the neighbouring countries should expect more witchdoctors, drug dealers and beggars!
 
Tanzanian tu stop breeding hata waziri wa fedha alisema uchumi wetu unakuwa kwa kasi lakin tunazaliana sana mbaka ile kasi ya uchumi haionekani
Your allegations might be true but not reason enough as an excuse. Comparing the resources available that include: large arable land mass, minerals, tourists attractions etc versus population, you'll realize that some under achievements are self inflicted.
 
Hatujafika mbali. Bado sana................ila tunaongoza Afrika Mashariki na hakuna ubishi hapo. Shida yenu wenzetu ni kubisha visivyobishika.
Wala sina haja ya kubisha lakin mfaham tunahitaj kujitoa tulipo walau kila kijiji kiwe na umeme barabara zakueleweka huduma za afya na maji safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wewe mtu ni shida???

Pamoja na tz kuwa na watu wengi zaidi ya nchi zote hizo umeshindwa kunotice chochote,yet unategemea kuwa na watoto one day,i feel sorry for them.
 
Aisee wewe mtu ni shida???

Pamoja na tz kuwa na watu wengi zaidi ya nchi zote hizo umeshindwa kunotice chochote,yet unategemea kuwa na watoto one day,i feel sorry for them.
Desist from commenting on things you don't understand.
 
Aisee wewe mtu ni shida???

Pamoja na tz kuwa na watu wengi zaidi ya nchi zote hizo umeshindwa kunotice chochote,yet unategemea kuwa na watoto one day,i feel sorry for them.
Juma pili, viroba halafu uingie JF lazima uta- comment Upuuzi.
 
Hatujafika mbali. Bado sana................ila tunaongoza Afrika Mashariki na hakuna ubishi hapo. Shida yenu wenzetu ni kubisha visivyobishika.

So hoja ni kuongoza EA [emoji1][emoji1][emoji1].

Nyie watu mnahitaji uponyaji!!!
 
Nambari 4 Africa. Next frothing please.

You are not even atleast mzee acha upang'ang'a.

Twende katika viwango vya kimataifa,mtaalam mmoja anatakiwa ahudumie watu wangapi??
 
You are not even atleast mzee acha upang'ang'a.

Twende katika viwango vya kimataifa,mtaalam mmoja anatakiwa ahudumie watu wangapi??
Sasa linganisha na ya kwenu uone mlivyo bure kabisa. Kila mahali mnavuta mkia ila mdomo bakuli hapo JF mtu anaweza fikiria ni wananchi wa SA kumbe ni masikini Danganyika.
 
Definition ya physician iliyotumika ni ipi?
 
Kama hujui maana ya Physician hufai kuwa kwenye huu uzi.
Msomi anapofanya research huwa anaweka wazi definition of terms.Training za Udaktari zina utofauti nchi mbalimbali...qualifications za wahitimu zinaweza kuwa tofauti pia.
Kwa hiyo usilete povu weka data zinazoeleweka.
 
Sasa linganisha na ya kwenu uone mlivyo bure kabisa. Kila mahali mnavuta mkia ila mdomo bakuli hapo JF mtu anaweza fikiria ni wananchi wa SA kumbe ni masikini Danganyika.

Then mkenya analingana na msouth???mbona mnapenda kushika mimba za tembo ilhali ni mbuzi nyinyi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…