NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Nilipopost uzi wa GDP humu, wabongo wengi walilalamika kuwa GDP sio njia mwafaka ya kupima uchumu wa nchi na kwamba kuna uwezekano kua Tanzania inazalisha mali kuliko Kenya ila mali hiyo haijanukuliwa kwenye GDP. Wenzangu Wakenya walijaribu kuwaelezea kuwa mali isiyonukuliwa kwenye uchumi wa Kenya na Tanzania haiwezi leta tofauti kubwa kwa final figures za GDP lakini wapi. Basi nimeona ni vyema nipost indices zingine zinazoguzia vyema ubora wa maisha kati ya nchi za Afrika mashariki ili tupate picha mwafaka. Leo naanza na afya na hii hapa ni orodha ya nchi za Afrika Mashariki na namba ya madaktari kwa watu elfu kumi.
Kulingana na world bank, mambo ndio haya:-
1. Kenya - 2 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
2. Uganda - 0.9 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
3. Rwanda - 0.6 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
4. Burundi - 0.3 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
5. Tanzania - 0.2 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
The best country has 10 times as many Physicians as the worst country.