Dodi Al Fayed mchumba wa Princess Diana mpaka Kifo!

Investigation Discovery Channel wamesema baada ya uchunguzi wa muda mrefu, next week wanakuja na full documentary kuhusu vifo vya watu hawa wawili. Tunasubiria.

Ipo kwenye DSTV channel namba ngapi?
 
charles wa camila, ndoa za kulazimishwa mbaya sana Diana kapitia mazito yule prince harry anasiri nyingi sana za mama yake nadhani alimchukia bibi yake kwa sababu maalumu na akaona amuweke mke wake meghan mbali na ile familia anaogopa kilicho mtokea mama yake kisije mtokea mkewe, inasemekana mama yake alimwambia harry atauauwa yupo kwenye hatari na kwelu baada ya muda mfupi CIA wakafanya yao.
 
Dody alikua keshampa mimba mrembo Diana Imagine mtoto angezaliwa alafu akaitwa prince Osama Dody Al-fayed mjukuu kwenye familia ya bi Elizabeth.
Diana alikosea.Ingawa washabiki wake wanampenda sana na kumtetea.Kuna mambo hawayafikirii kwa undani kiasi;
-Kuibiwa mke kunaumiza sana kwa mume bila kujali kiwango cha mapenzi yenu.
-Alipolalamika mumewe malaya(mfalme wa sasa)alipaswa kuweka kichwani kwamba wanaume wamezaliwa na "kijiumalaya" fulani hivi.Alitakiwa awe mkali tu na si kuchepuka.
-Diana alipaswa achague aina,asili ya mtu na wakati wa kuchepuka.
-Hakutakiwa kushika mimba ya hawara yake huyo.Makosa!
-Alipaswa na aliijua nguvu ya ukoo na wanaouzunguka ufalme.Hakupaswa kuwajaribu.
Alipaswa kujua kwamba Royal families huenenda kwa kanuni,sheria,taratibu na tamaduni zisizobadilikabadilika.They are going by the book.Alipaswa atumie jicho la tatu hadi la nne kuyaishi aliyoyaishi.
 
Dody alikua keshampa mimba mrembo Diana Imagine mtoto angezaliwa alafu akaitwa prince Osama Dody Al-fayed mjukuu kwenye familia ya bi Elizabeth.
Kheeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wapi pichaa [emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Wazungu wanavyojua kujiachia leo hii uanze kupangiwa kula kwasababu ya dini na watu wanatafuta pesa kwa jasho lao. Mwaraabu siyo mtu mzuri hata kidogo. Ninayoona Zanzibar kipindi cha Ramadhan hakika Waingereza waliona mbali sana.
 
Wazungu wanavyojua kujiachia leo hii uanze kupangiwa kula kwasababu ya dini na watu wanatafuta pesa kwa jasho lao. Mwaraabu siyo mtu mzuri hata kidogo. Ninayoona Zanzibar kipindi cha Ramadhan hakika Waingereza waliona mbali sana.
Dodi kwani alikua dhehebu gani?
 
The saga continues..
 
Hizi vitu media za Magharibi hawasemagi ukweli kabisa
Walisema sana ila mwisho Malkia akatoa makucha kwa hasira akasema muache Mara moja kufuatilia familia la sivyo tuna mkono mrefu (kitu kama hicho)
Waandishi wa Habari na TV zote zilishika adabu na kukaa kimya

Onyo alitoa mwenyewe Malkia kwenye hotuba yake LIVE

Tulishtuka sana siku hiyo hakuna alietegemea
Ila Al Fayed aliwaandama sana na kumtuhumu Malkia moja kwa moja
 
Kila kitu kilikuwa kigumu kwa Princess Diana wakati ule.

Mume anachepuka humu humu kwenye kasri.

Huwezi kutoka kwenda kuolewa huko uarabuni.

Ilifikia akawa anakulwa na mwalimu wake wa farasi.

Ila kuna vitu huwezi zuia, especially nyegezi
Walikuwa wanne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…