Puncler JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 1,386 Reaction score 1,888 Sep 25, 2022 #161 RoadLofa said: Ukiwa Queen au King unatakiwa kuwa katili[emoji3][emoji3] Click to expand... Protecting the Kingdom/Empire at any cost.
RoadLofa said: Ukiwa Queen au King unatakiwa kuwa katili[emoji3][emoji3] Click to expand... Protecting the Kingdom/Empire at any cost.
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 6,974 Reaction score 8,750 Sep 26, 2022 #162 Panya Road alitaka kuonja tamu/usingizi wa Mfalme kmmk!
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,171 Reaction score 3,461 Oct 2, 2022 #163 Mamndenyi said: Kila kitu kilikuwa kigumu kwa Princess Diana wakati ule. Mume anachepuka humu humu kwenye kasri. Huwezi kutoka kwenda kuolewa huko uarabuni. Ilifikia akawa anakulwa na mwalimu wake wa farasi. Ila kuna vitu huwezi zuia, especially nyegezi Click to expand... kujiendekeza tu
Mamndenyi said: Kila kitu kilikuwa kigumu kwa Princess Diana wakati ule. Mume anachepuka humu humu kwenye kasri. Huwezi kutoka kwenda kuolewa huko uarabuni. Ilifikia akawa anakulwa na mwalimu wake wa farasi. Ila kuna vitu huwezi zuia, especially nyegezi Click to expand... kujiendekeza tu
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,638 Oct 2, 2022 #164 Waminyato said: Dody alikua keshampa mimba mrembo Diana Imagine mtoto angezaliwa alafu akaitwa prince Osama Dody Al-fayed mjukuu kwenye familia ya bi Elizabeth. Click to expand... Nilishawahi kusikia mahali kwba huyu malikia elizabeti ni uzao katika cha mtume muhamadi.nilishasikia hii habari zaid ya mara moja
Waminyato said: Dody alikua keshampa mimba mrembo Diana Imagine mtoto angezaliwa alafu akaitwa prince Osama Dody Al-fayed mjukuu kwenye familia ya bi Elizabeth. Click to expand... Nilishawahi kusikia mahali kwba huyu malikia elizabeti ni uzao katika cha mtume muhamadi.nilishasikia hii habari zaid ya mara moja
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Oct 27, 2023 #165 Aiseeeee