Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lolote Utafika SalamaSijui nipande basi gani zuri kwenda Kahama nifike salama!!
Yaani wewe ujasafiri unawaza ajari bora ukae nyumban una roho chafu ipo nyuma yakoSijui nipande basi gani zuri kwenda Kahama nifike salama!!
Oooh nohNi ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea.
Nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza.
Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea njia ya bukoba kwenda Dar
USSR
===
Ajali imetokea Kijiji cha Silwa, Kata ya Pandambili,Tarafa ya Mlali, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, baada ya Basi la Frester lenye namba za Usaji T 415 DPP kugongana na lori lililokuwa linatokea Morogoro kwenda Dodoma saa saba Usiku wa kuamkia leo tarehe 9/02/2023.
Ajali hiyo imesababisha Vifo ni 12 ambapo waliofariki ni Wanawake 4 na Wanaume 8. Majeruhi ni 63.
View attachment 2511188View attachment 2511189View attachment 2511190
View attachment 2511398View attachment 2511399View attachment 2511400
Dah jamaa kapindaKwa kweli naona umuhimu wa Katiba Mpya, ungeweza kumjibu kistaarabu tu
Ninahisi kutakuwepo na watumishi wa LATRA na mbunge mmojaNi ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea.
Nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza.
Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea njia ya bukoba kwenda Dar
USSR
===
Ajali imetokea Kijiji cha Silwa, Kata ya Pandambili,Tarafa ya Mlali, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, baada ya Basi la Frester lenye namba za Usaji T 415 DPP kugongana na lori lililokuwa linatokea Morogoro kwenda Dodoma saa saba Usiku wa kuamkia leo tarehe 9/02/2023.
Ajali hiyo imesababisha Vifo ni 12 ambapo waliofariki ni Wanawake 4 na Wanaume 8. Majeruhi ni 63.
View attachment 2511188View attachment 2511189View attachment 2511190
View attachment 2511398View attachment 2511399View attachment 2511400
Kuna ajari nyingi imetokea mkuu?Ninahisi kutakuwepo na watumishi wa LATRA na mbunge mmoja
Mengine ni ya kujitakia !!!Mungu, Kwanini unaruhusu hizi ajali,