Bauntu asukile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2020
- 324
- 442
Sasa kuna vitu vinashindikana Tanzania tena basi linatembea usiku ,, watu wakakalia hata ndooWaliofariki 12 majeruhi 63 ina maana kuna basi lina capacity ya abiria 75?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kuna vitu vinashindikana Tanzania tena basi linatembea usiku ,, watu wakakalia hata ndooWaliofariki 12 majeruhi 63 ina maana kuna basi lina capacity ya abiria 75?
Acha upumbavu tahira wewe ,, unakurupuka tu bila hata kusoma gari limetoka Bukoba kwenda Dar, wewe unasema limetoka Mbezi hivi una akili kweli wewe..hilo basi lilitoka mbezi asubuhi lilikuwa bovu aiwezekani kutoka mbezi asubuhi na kufika chibaigwa saa 7 usiku
Maisha hayaendi hivyoMkuu wa Usalama barabarani ajiuzulu, kama sivyo basi IGP ajiuzulu. Wameshindwa kutuhakikishia usalama.
Ni kweli issue ni madereva wengine sasa hapo ndio picha linaanza.Usiku ndio kutamu kwa kukimbia sababu lami imepoa. Usiku hata ukiwa na tyre za mchongo unafika uendako bila kwere taa na macho yawe vizuri tu.
Mkuu hii ni nzuri mno, kwanini usianzishe uzi ukapewa kipaumbeke na moderators serikali ikauona??.Exactly! Iwe gari nyingine inayoanza safari upya kwenye hiyo destination.
Kwa wanaondesha Private car safari ndefu watakuwa mashahidi wa uendeshaji wa madereva wa mabasi, hawa jamaa ni kama wanavutaga bangi au akili zao hazipo sawa anaweza ovartake gari wakati anaona mbele kuna gari na usipompisha anakuletea lazima utaingia mtaroni, wapi rafu hususani kuanzia misa ya saa 12 jioni Giza likishaingia
Hawa kuna siku nilimmaindi sana dereva wa hiihii kampuni alafu konda akawa anamtetea, jamaa wanakimbia sana wanafukia matunda Hadi unahisi kiuno kitavunjikaHao Forester wanaendesha hivyo Sana,nikikumbuka walivyotuburuzaburuza pale vilima vya sekenke
Kwa hii ajali unamlaumu vp traffic, ajali saa saba usiku tochi hamnaTaifa gani ambalo watu wanaangamia lakini wale wanaolipwa kwa kodi zetu kutuhakikishia usalama, hawawajibiki. Na Rais na cabinet wake wanakaa kimyaaa!!!
Kwamba nikichukua bunduki saa 7 usiku nikavamia sehem nikaiba polisi hapaswi kulaumiwa?Kwa hii ajali unamlaumu vp traffic, ajali saa saba usiku tochi hamna
Usalama ni masaa 24, siku 7.Kwa hii ajali unamlaumu vp traffic, ajali saa saba usiku tochi hamna
... kuna haja kuangalia hizi long safaris upya. Kwa mfano kusiwe na leseni ya moja kwa moja Dar - Bukoba, Dar - Musoma, Dar - Kigoma, etc. Safari ikishakuwa zaidi ya 800km magari yaishie nearby cities uwe ndio mwisho wa leseni zao. Itasaidia.
Mkuu usiangalie majibu rahisi, kuna Buses zinatoka Lusaka hadi joberg, Harare hadi Capetown, Lilongwe hadi joberg etc etc,tatizo hapa kwetu barabara zetu ni mbovu mkuu, hazijkwa jengwa kwa viwango