Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Unaweza kunyimwa kwasababu zinazoeleweka ila sometimes unaona mtu anakunyima bila sababu za msingi hapo ndo mda mwingine inakuwa kasheshe hadi kusababisha ugomvi na hata kujeruhianaKunyimwa K mbona ni very common practice kwenye ndoa nyingi kiongozi? Huyu amekutana tu na siku zake zimefika but ni michezo iliyoenea sana kwenye ndoa.
😃😃kwani wa makabila mengine hawawezi kutaka hati mkuuKwani umeambiwa ni Wachaga? 🤣
Anayekunyima kwake ni sababu ya kueleweka even if anayenyimwa kwake sio sababu ya msingi. Shida inakuja pale kila upande unaposimamia msimamo wake!Unaweza kunyimwa kwasababu zinazoeleweka ila sometimes unaona mtu anakunyima bila sababu za msingi hapo ndo mda mwingine inakuwa kasheshe hadi kusababisha ugomvi na hata kujeruhiana
😃😃kwani wa makabila mengine hawawezi kutaka hati mkuu
Sihalalishi mauaji japo silaumuWanawake ni kawaida kutongozwa, tena ukiwa na mke mrembo anaweza kutongozwa hata mara 3 kwa siku
Ni uamuzi wake kuwakubalia ama kuheshimu ndoa yake
Pamoja na hayo, hutakiwi kumuua unapogundua ametongozwa ama kuchepuka
Adhabu inayomfaa ni kumuomba muachane tu ili Kila mmoja akaishi maisha yake
Unapoamua kumuua, ni kujipotezea maisha maana lazima utafungwa
Sio kwamba hatutaki mfumo wa u mjini umetulazimuWanaume wenzangu hii tabia yakuweka vitu moyoni bila kuongea itatumaliza. Unakuta mtu analitia changamoto za ndoa hasemi and of time maamuzi yanakuwa kuuwa mwenzi ni ujinga sana” kakushinda rudisha kwao
Ukijiwekea Time Frame itakuwa rahisi zaidi kufanya Hitimisho mapema kabla mambo hayajazidi kuharibika na pengine kuyagharimu maisha yako.Kwanza, kuna thinking ya " let's hope for the best"; atabadilika hali ambayo huzaa kuvumiliana. Pili, process ya kuachana isn't an overnight issue - it takes time including social intervention - tuachane vizuri.
Sasa hapo mtu unaamua kusuka au kunyoa. Kuogopa eti itaonekana wewe ndo chanzo cha migogoro kunawaponza wengi. Wewe jali usalama wako mengine baadaye.Na hata kama ungeamua kukatisha mahusiano ghafla wewe ndiwe utaonekana chanzo cha migogoro hali ambayo wengi hawaipendi.
Exactly.Matrimonial issues are a bit complex than they might be taken at a glance!
Na huko ndiko kunakopelekea matumizi ya vitu vyenye ncha kali dhidi ya wengi wao.Demu akikuelewa haijarishi anakipata au hakipati kikubwa yeye ni kutekeleza unyambilisi wake
Sahihi kabisa-hata mara saba u sabini.Wanawake ni kawaida kutongozwa, tena ukiwa na mke mrembo anaweza kutongozwa hata mara 3 kwa siku
Naam; sahihi.Ni uamuzi wake kuwakubalia ama kuheshimu ndoa yake
Kweli.Pamoja na hayo, hutakiwi kumuua unapogundua ametongozwa ama kuchepuka
Humuombi bali unaanzisha mchakato Halali ili muachane tu.Adhabu inayomfaa ni kumuomba muachane tu ili Kila mmoja akaishi maisha yake
Ni kweli; na ikibidi unaweza kunyongwa hadi kufa.Unapoamua kumuua, ni kujipotezea maisha maana lazima utafungwa
Ni kweli kabisaSahihi kabisa-hata mara saba u sabini
HakikaNaam; sahihi.
Ni kweli MkuuKweli.
Humuombi bali unaanzisha mchakato Halali ili muachane tu.
Sahihi kabisaNi kweli; na ikibidi unaweza kunyongwa hadi kufa.