Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

Dili za watu hizo na huyu itakua ametofautiana mahali na wenzie ndio maana kakamatwa.

Sababu kupata namba plate tu ya kiserikali lazima aliunganishwa na alishafanya sana.
Wanavituo vyao hawa

Huko maporini

Mfano tu kumtoa mtu 1 kutoka pozo

Mpk chalinze kwa bodaboda,analipwa
400,000

Huyo mwenye amazon si ajabu angewafikisha tunduma angepewa si chini ya 7,8,m

Ova
 
Sasa angetumia VX V8 angetoboaje wakati ishu ni kuwa kachomeshwa? Kuna mtu kavujisha kuwa hio cruiser ni ya mchongo.

Dili kama hizo hutakiwi kutumia gari moja[emoji3] unatakiwa uwe unabadili badili gari tu[emoji3]
Noma sana inaezekana kuna kupishana maslahi wamechoma
 
Tatizo ukipitia njia ya Dodoma Mtera Iringa, lazima usimame check point ya Mtera. Na ukisimama, jamaa wa uhamiaji watakuja kukusalimia kwenye gari! Na bado utatakiwa kwenda kusajili gari kwenye kile kibanda chao!

Kiukweli hii biashara ni ngumu. Bora usafirishe bange! Ila siyo wahamiaji haramu. Pole nyingi kwa mwanaume mwenzetu wa Mikoani. Wanaume wa Dar wakiona taarifa kama hizi, huwa wanaogopa kweli kweli.
 
Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL.

=====

Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph mkazi wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 wasio na vibali ambao ni Raia wa Ethiopia wakitokea Mkoa wa Kilimanjaro kuelekea Mkoa wa Mbeya ili kuwavusha mpaka kelekea Afrika Kusini.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishna Msaidizi wa Polisi Martin Otieno amesema dereva huyu amekamatwa akiwa na gari aina ya Landcruser namba T 752 BVL lakini alitumia mbinu ya kufunga namba za Shirika la Umma ambazo ni SU 35970 ili asishtukiwe au kusimamishwa barabarani.

Ajali kazini
 
Hii michongo zamani walikuwa wanawabeba wakimbizi kama wanaenda msibani tena wengine wanaweka na jeneza kabisa na wanalazimishwa kulia ili wapate huruma zaidi

Halafu Hiace zote zina mapazia
Sasa huyu mwamba kachomwa au kagoma kutoa za ziada kwa wakamataji
Kila kitu kinawezekana

Haya madili makubwa sio mchezo na vijana wanakuja na hela nyingi ila South A ni kutafutia michongo ya nje
Wanaojiuliza why South Africa Basi wajue huko ndio kuna wanaotengeneza passport na visa za fake na unavuka border
 
Tatizo ukipitia njia ya Dodoma Mtera Iringa, lazima usimame check point ya Mtera. Na ukisimama, jamaa wa uhamiaji watakuja kukusalimia kwenye gari! Na bado utatakiwa kwenda kusajili gari kwenye kile kibanda chao!

Kiukweli hii biashara ni ngumu. Bora usafirishe bange! Ila siyo wahamiaji haramu. Pole nyingi kwa mwanaume mwenzetu wa Mikoani. Wanaume wa Dar wakiona taarifa kama hizi, huwa wanaogopa kweli kweli.
😆😆😆😆 kwakweli wazee wa chipsi yai.
 
Hivi hao waethiopia wao South Africa wanapaona kama Newyork,kipi kinawashinda kuja na passport wakati wanaunguza mamillion kuitafuta Tunduma

Labda kwa kuwa huyajui haya mambo ya kujilipua
Passport zao kupata visa ya majuu ni kazi sana Labda wakaishi kwenye camp za wakimbizi ila itachukua miaka kubebwa
Hapo kila mmoja ana hela za kutosha Ndio maana wakikamatwa kuna watu huwa wanafurahi sana mpaka kuita waandishi na kupiga nao picha kuwa eti tumekamata wahamiaji haramu

Hapo wameisha chukuliwa hela zao zote

Ila wakifanikiwa kwenda South huko kuna njia nyingi za kuingia Europe hata ziwe za communist ili mradi kwa wazungu hapo watapenya tu mpaka wafike UK ama Holland hata German na wanafanikiwa kwa kupanda train ama mabasi
Nawaona Wahabeshi wapya kila siku hapa wanaingia tu wakifanikiwa

Ila wakifika hapa wanapewa hifadhi kama binadamu na maisha yanaenda
Kwa hiyo hapo Tz ni shortcut tu na njia ya kuvukia tu

Huwezi kumzuia mtu kupita mahali na hii mipaka imetengenezwa na binadamu na tutavuka tu bila hata makaratasi hayo yanayoitwa passports
 
Hii michongo zamani walikuwa wanawabeba wakimbizi kama wanaenda msibani tena wengine wanaweka na jeneza kabisa na wanalazimishwa kulia ili wapate huruma zaidi

Halafu Hiace zote zina mapazia
Sasa huyu mwamba kachomwa au kagoma kutoa za ziada kwa wakamataji
Kila kitu kinawezekana

Haya madili makubwa sio mchezo na vijana wanakuja na hela nyingi ila South A ni kutafutia michongo ya nje
Wanaojiuliza why South Africa Basi wajue huko ndio kuna wanaotengeneza passport na visa za fake na unavuka border

Hii kitu huko ndani ndani kuna vituo vyao ya kuwapokea,mtandao huu unanzia mbali San mpaka hapa bongo
Kuna watu kazi yao kuwapokea na kuwaunganisha na watu wa usafiri

Ova
 
Labda kwa kuwa huyajui haya mambo ya kujilipua
Passport zao kupata visa ya majuu ni kazi sana Labda wakaishi kwenye camp za wakimbizi ila itachukua miaka kubebwa
Hapo kila mmoja ana hela za kutosha Ndio maana wakikamatwa kuna watu huwa wanafurahi sana mpaka kuita waandishi na kupiga nao picha kuwa eti tumekamata wahamiaji haramu

Hapo wameisha chukuliwa hela zao zote

Ila wakifanikiwa kwenda South huko kuna njia nyingi za kuingia Europe hata ziwe za communist ili mradi kwa wazungu hapo watapenya tu mpaka wafike UK ama Holland hata German na wanafanikiwa kwa kupanda train ama mabasi
Nawaona Wahabeshi wapya kila siku hapa wanaingia tu wakifanikiwa

Ila wakifika hapa wanapewa hifadhi kama binadamu na maisha yanaenda
Kwa hiyo hapo Tz ni shortcut tu na njia ya kuvukia tu

Huwezi kumzuia mtu kupita mahali na hii mipaka imetengenezwa na binadamu na tutavuka tu bila hata makaratasi hayo yanayoitwa passports
Bado wale wanaopitia kutokea Mediterranean Sea kuingia ulaya

Ova
 
Back
Top Bottom