Labda kwa kuwa huyajui haya mambo ya kujilipua
Passport zao kupata visa ya majuu ni kazi sana Labda wakaishi kwenye camp za wakimbizi ila itachukua miaka kubebwa
Hapo kila mmoja ana hela za kutosha Ndio maana wakikamatwa kuna watu huwa wanafurahi sana mpaka kuita waandishi na kupiga nao picha kuwa eti tumekamata wahamiaji haramu
Hapo wameisha chukuliwa hela zao zote
Ila wakifanikiwa kwenda South huko kuna njia nyingi za kuingia Europe hata ziwe za communist ili mradi kwa wazungu hapo watapenya tu mpaka wafike UK ama Holland hata German na wanafanikiwa kwa kupanda train ama mabasi
Nawaona Wahabeshi wapya kila siku hapa wanaingia tu wakifanikiwa
Ila wakifika hapa wanapewa hifadhi kama binadamu na maisha yanaenda
Kwa hiyo hapo Tz ni shortcut tu na njia ya kuvukia tu
Huwezi kumzuia mtu kupita mahali na hii mipaka imetengenezwa na binadamu na tutavuka tu bila hata makaratasi hayo yanayoitwa passports