Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

Watu 16..?? Aisee walikaaje humo ndani?? Sema kwani wakiwaacha waende zao kuna kosa gani??
 
Nimepigiwa simu muda si mrefu,huyu jamaa(Joachim) ni ndugu yangu..mtoto wa baba mkubwa. Na alikuwa anafanya kazi serikalini ,dereva wa Bot mkoa x kusini huko, Masikini ndugu yangu, tamaa hizi!!...
 
Bas atatoka km wa serikali.
 
Back
Top Bottom