Wanavituo vyao hawaDili za watu hizo na huyu itakua ametofautiana mahali na wenzie ndio maana kakamatwa.
Sababu kupata namba plate tu ya kiserikali lazima aliunganishwa na alishafanya sana.
Huyo mke ataishia kupasuliwaangeweka namba za kibalozi [emoji848] mwanaume anafaiti hivi kesho akute mke yuko na mtu mwingine [emoji24]
Rangi yenyewe tu tatizoTatizo hyo cruiser model ya zamani ndio mana kaminywa
Noma sana inaezekana kuna kupishana maslahi wamechomaSasa angetumia VX V8 angetoboaje wakati ishu ni kuwa kachomeshwa? Kuna mtu kavujisha kuwa hio cruiser ni ya mchongo.
Dili kama hizo hutakiwi kutumia gari moja[emoji3] unatakiwa uwe unabadili badili gari tu[emoji3]
Dawa ni kukopi namba za ndinga ya RPC tu na kubeba mirungi ya kushato kwenye buti. Wakisimamisha unawaambia namuwahi mkuu mbeleRangi yenyewe tu tatizo
Ajali kaziniPolisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL.
=====
Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph mkazi wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 wasio na vibali ambao ni Raia wa Ethiopia wakitokea Mkoa wa Kilimanjaro kuelekea Mkoa wa Mbeya ili kuwavusha mpaka kelekea Afrika Kusini.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishna Msaidizi wa Polisi Martin Otieno amesema dereva huyu amekamatwa akiwa na gari aina ya Landcruser namba T 752 BVL lakini alitumia mbinu ya kufunga namba za Shirika la Umma ambazo ni SU 35970 ili asishtukiwe au kusimamishwa barabarani.
Hapa ndipo alipofeli ukiacha kuchomeshwa na wenzie uchaguzi wa gari pia sio sahihi kwanza model hzo serikali ilishapiga bei karibu yote mengine yapo juu ya mawe na most of them zilikua rangi nyeupeTangu lini gari ya govt SU ikawa ya blue hivo?
ππππ kwakweli wazee wa chipsi yai.Tatizo ukipitia njia ya Dodoma Mtera Iringa, lazima usimame check point ya Mtera. Na ukisimama, jamaa wa uhamiaji watakuja kukusalimia kwenye gari! Na bado utatakiwa kwenda kusajili gari kwenye kile kibanda chao!
Kiukweli hii biashara ni ngumu. Bora usafirishe bange! Ila siyo wahamiaji haramu. Pole nyingi kwa mwanaume mwenzetu wa Mikoani. Wanaume wa Dar wakiona taarifa kama hizi, huwa wanaogopa kweli kweli.
Hivi hao waethiopia wao South Africa wanapaona kama Newyork,kipi kinawashinda kuja na passport wakati wanaunguza mamillion kuitafuta Tunduma
Hii michongo zamani walikuwa wanawabeba wakimbizi kama wanaenda msibani tena wengine wanaweka na jeneza kabisa na wanalazimishwa kulia ili wapate huruma zaidi
Halafu Hiace zote zina mapazia
Sasa huyu mwamba kachomwa au kagoma kutoa za ziada kwa wakamataji
Kila kitu kinawezekana
Haya madili makubwa sio mchezo na vijana wanakuja na hela nyingi ila South A ni kutafutia michongo ya nje
Wanaojiuliza why South Africa Basi wajue huko ndio kuna wanaotengeneza passport na visa za fake na unavuka border
Bado wale wanaopitia kutokea Mediterranean Sea kuingia ulayaLabda kwa kuwa huyajui haya mambo ya kujilipua
Passport zao kupata visa ya majuu ni kazi sana Labda wakaishi kwenye camp za wakimbizi ila itachukua miaka kubebwa
Hapo kila mmoja ana hela za kutosha Ndio maana wakikamatwa kuna watu huwa wanafurahi sana mpaka kuita waandishi na kupiga nao picha kuwa eti tumekamata wahamiaji haramu
Hapo wameisha chukuliwa hela zao zote
Ila wakifanikiwa kwenda South huko kuna njia nyingi za kuingia Europe hata ziwe za communist ili mradi kwa wazungu hapo watapenya tu mpaka wafike UK ama Holland hata German na wanafanikiwa kwa kupanda train ama mabasi
Nawaona Wahabeshi wapya kila siku hapa wanaingia tu wakifanikiwa
Ila wakifika hapa wanapewa hifadhi kama binadamu na maisha yanaenda
Kwa hiyo hapo Tz ni shortcut tu na njia ya kuvukia tu
Huwezi kumzuia mtu kupita mahali na hii mipaka imetengenezwa na binadamu na tutavuka tu bila hata makaratasi hayo yanayoitwa passports