Uchaguzi 2020 Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi

Ukubali kuporwa HAKI?

Watu wanaiba na kupora masanduku ya kura ili kupika data alafu tukubali?

Hakuna kitu kama hicho kwa MTU mwenye akili timamu.

Mmetudharau wananchi kutupa watu hatujawachagua mkajaza makura feki.
Wananchi wamechagua vizuri tena kwa umakini mkubwa lakini NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm wakapora haki zote na kuizawadia Nchi CCM kwa njia haramu za kishetani
 
Vumilia wananchi 12M sio wakupuuzwa yaani sisi 12M hatuwezi kukosa usingizi kwaajili yako wewe mtu mmoja.

Wahenga walisema wengi wape.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mbunge hata akiingia msikitini au kanisani ama atoke yeye au aachwe peke yake ndani ya sinagogi. Zanzibar imeshaanza msikitini wanaachwa peke yao,akiingia liciciemuwatu wanaondoka wanaenda kuswali kwengine.
Ha ha haa.. hao wahuni wasiachiwe mahali pa ibada, ni kupigwa mawe tu
 
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
Watu wanakwapua masanduku ya kura?

Polisi wanapiga mabomu ya machozi kutawanya watu ili waondoke na masanduku?

Wasimamizi wa uchaguzi wanakuja na mabegi yenye kura fake?

Mawakala wanazuiliwa kuingia kwenye vituo vyao kwa sababu batili?

Alafu niseme ni uchaguzi?

Nitakuwa ni maiti sio Mimi mwenye Ubongo na macho yakuona huu UKHANITHI
 
CCM ya Magufuli.. bila kuiongelea hamlali.. 😀 😀 😀

huyo ni Mbunge 5 tenaaaaaaaaaaaa
 
Edited clip wadanganye wanasaccos.
ingekuwa ni saccos msingewapora Nchi kwa njia haramu za kishetani na ingekuwa ni saccos msingekuwa mnawabambikia kesi kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji na mateso kibao mngeacha wananchi waamue wenyewe
 
Siwezi kukubali UHUNI huu mpaka naingia kaburini.

Wametudharau sana sana sana WANANCHI.

kumbe machafuko tunashangaa yanatokeaje ni kama vitu hivi vya kipuuzi
Acha uongo wewe mmeshindwa kihalali hata waangalizi wa kimataifa wamesema uchaguzi umeenda vizuri na salama sasa wewe uko Tanzania au ughaibuni.
 
Hakuna uchaguzi hayo ni vioja maigizo ya CCM kuuhadaa ulimwengu kuwa wamefanya uchaguzi
 
Teh teh

Alitumwa kama chambo kupima upepo

Wameona upepo hausomeki ...Polepole kaja na tamko kuwa hawaruhusiwi kusherehekea...

Washerehekee na nani kama wananchi wanawazomea....

Pole pole bana
 
hao hapo unajua nini kilijiri.. hao ni wakazi wote wa Dodoma?
Kilichojiri Anthony Mavunde kuzomewa.

Uliza watu wa dodoma mjini kama wanataka kumsikia Mavunde

Aliahidi kuwapa vijana bajaji na boda akaingia mitini.

Wakambwaga kwenye kura ambazo mlichakachua wakaona wampe za usoni "ONDOKA, HATUKUKUCHAGUA, INGIA KWENYE GARI, NENDAAAAA"[emoji23][emoji23]
 
ingekuwa ni saccos msingewapora Nchi kwa njia haramu za kishetani na ingekuwa ni saccos msingekuwa mnawabambikia kesi kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji na mateso kibao mngeacha wananchi waamue wenyewe
Mmekwisha hata waangalizi wa uchaguzi wameshasema uchaguzi ulikuwa huru na haki. Sasa wewe endelea na stress zako! Who cares!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…