minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wananchi wamechagua vizuri tena kwa umakini mkubwa lakini NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm wakapora haki zote na kuizawadia Nchi CCM kwa njia haramu za kishetaniUkubali kuporwa HAKI?
Watu wanaiba na kupora masanduku ya kura ili kupika data alafu tukubali?
Hakuna kitu kama hicho kwa MTU mwenye akili timamu.
Mmetudharau wananchi kutupa watu hatujawachagua mkajaza makura feki.